Kimeumana! Wakili Kibamba ataka kulipwa Bilion 2 kwa mawakili waliomchafua sakata la uchaguzi wa TFF

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi TFF Wakili Kiomoni Kibamba akizungumza n kuhusu malalamiko dhidi yake kwenye mchakato wa uchaguzi TFF. amesema mawakili wote walimdhalilisha atawapeleka mahakamani na kuwataka wamlipe Bilion 2

Your browser is not able to display this video.


Ilivyokuwa awali...
​
Wakili Doris Kafuku akizungumza kwa niaba ya mawakili wanaopinga mchakato wa uchaguzi TFF kuwa watachukua hatua dhidi ya mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi TFF Kiomoni Kibamba.
Your browser is not able to display this video.


Taarifa za Wakili Kiomoni Kibamba kwa mujibu wa Mtandao wa USAJILI WA MAWAKILI (ewakili.judiciary.go.tz)
 
Mawakili hawana hiyo hela
 
Hiyo demu wakili wa washabilki wa utoh ni mbabaishaji ....anaongea Kwa kutetemeka... Hajiamin na anachoongea.... Mwacheni wakili kibamba amalizie shughuli zake za uchaguzi
 
Huwezi ukaongozana na yanga ukawa na akili kwanza pale yanga kipengele cha sheria kifutwe kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…