Kimeumana! Wanawake Wachachamaa - Malumbano Makali ya Hoja

Huwa nina mashaka sana na akili zenu nyie wadada mnaojidai mnampenda yesu we kutwa nzima si huwa unaleta mijadala ya kumpenda yesu humu ndani? Sahivi unashangilia kuvaa nusu uchi ndo maelekezo ya yesu wenu hayo?
Lucha inaonekana umesoma uzi huu kwa haraka haraka. Hebu soma tena; ucheki na replies zangu uni-quote mahali niliposhangilia kuvaa nusu uchi. Hizo picha hujasoma captions nilizoandika? Siungi mkono ukahaba wala mavazi ya kikahaba
 
Reactions: Cyb
Kwa hali hii, ni dhahiri dunia inaelekea kuchomwa moto
Hakuna cha kuchomwa moto, hiyo ni style tu ya mtoko na haiwezi kusababisha moto kwani haina uhusiano na moto bali ni fashion tu.
 
I see where you want to take me to πŸ‘‹πŸ€£πŸ‘
Hahaa. No traps here! But I see you're waving the white flag. Come on now, don’t back down. If your argument stands, it should apply across the board, right?
 
Hii siku kuu ya wanawake hua ina mbwembwe nyingi hadi kuwafanya kama miungu flani hali ya kua mioyoni mwao wanajua ushetani waliouficha ... mungu tukubalie saumu zetu 🀲🏼 .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…