Kimeumana: Wazee wa Simba SC hawamtaki Mwina Kaduguda

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
#Wazee wa klabu ya Simba hawamtaki aliyewahi kuwa Kaimu Mwenyekiti wa klabu hiyo, Mhina Kaduguda baada ya kusema Fred na Jobe ni wachezaji ambao unaweza kuwapata Tandika na Mwananyamala.
Video : Ayoma TV

MAKOLOoooooooooooooooooo ni wendo wa kuvurugana [emoji23][emoji23]
Walianza hawamtaki Boko ....kocha zoran...... robertinho..... mangungu......try again.....Leo hawamtaki kaduguda [emoji23][emoji23]....

Guess who's next????????
 
Nenda kabet buku 2 usaidie 🐸🐸wenzio wapate nauli ya kwenda sauz.

Haya mambo ya kaguguda kukataliwa hayaimarishi mapato ya 🐸🐸
 
Nenda kabet buku 2 usaidie [emoji196][emoji196]wenzio wapate nauli ya kwenda sauz.

Haya mambo ya kaguguda kukataliwa hayaimarishi mapato ya [emoji196][emoji196]
Wananchi Wana pesa mkuu
 
[emoji196][emoji196]Wanapesa [emoji23][emoji23], inakuwaje mnaenda kurusha vipindi vya kuchezesha kamari katika Azam TV? Kwa nini hauwezi kurusha katika Yanga TV? Hizo hela mlizonazo ni za kunywea supu bila shaka [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna kitu inaitwa ,.. fans engagement....
 
Kaduguda lasema ukweli mtupu.
Freddy na Barbacar wako wengi sana Tandika na Mwananyamala.

Tena wako wazuri kuwazidi hao wachezaji.
Hao ni wazee wa Mchongo tu kama wangekuwa wa kweli wangeafiki kauli ya Kaduguda.
 
Kuna kitu inaitwa ,.. fans engagement....
Naongelea timu yenye hela kushindwa kumiliki studio yake ya kurusha matangazo ya TV mubashara na badala yake inakwenda kuomba msaada kwa studio ya jirani.

Kubali tu 🐸🐸🐸 ni pangu pakavu tia mchuzi tutakuelewa.
 
Kaduguda lasema ukweli mtupu.
Freddy na Barbacar wako wengi sana Tandika na Mwananyamala.

Tena wako wazuri kuwazidi hao wachezaji.
Hao ni wazee wa Mchongo tu kama wangekuwa wa kweli wangeafiki kauli ya Kaduguda.
Makolo hawataki kuambiwa ukweli [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…