Kimeumana: Wazee wa Simba SC hawamtaki Mwina Kaduguda

Naongelea timu yenye hela kushindwa kumiliki studio yake ya kurusha matangazo ya TV mubashara na badala yake inakwenda kuomba msaada kwa studio ya jirani.

Kubali tu [emoji196][emoji196][emoji196] ni pangu pakavu tia mchuzi tutakuelewa.
That's y Kuna kitu inaitwa specialization.....huwezi kuwa master wa kumiliki Kila ktu
 
[emoji3][emoji3] kwa hiyo umefurahi mleta mada?
Makapuku ya utopolo hayo..hawana kadi za uanachama, hawawez kununua jezi, hawawezi kutoa viingilio , wako vijiweni tu wanaropoka hadi mimate inawatoka
 
Huyu ni pimbi tu, aliwahi kununua chapati za wachezaji kule Zanzibar za tsh 36k akaja kuzidai kwenye kikao akarudishiwa pesa na team. Mtu wa ivi hata akiniambia 2+2=4 sitamuamini
 
Hao wazee wajinga tu, Kaduguda amesema kweli waache unafiki wao.

Wachezaji wazuri kila siku wanaachwa, wabovu kila siku wanaongezewa mikataba mipya licha ya uzee wao.
 
Makapuku ya utopolo hayo..hawana kadi za uanachama, hawawez kununua jezi, hawawezi kutoa viingilio , wako vijiweni tu wanaropoka hadi mimate inawatoka
Acha hasira mkuu.....tafuta pesa
...life is very simple [emoji23]
 
Huyu ni pimbi tu, aliwahi kununua chapati za wachezaji kule Zanzibar za tsh 36k akaja kuzidai kwenye kikao akarudishiwa pesa na team. Mtu wa ivi hata akiniambia 2+2=4 sitamuamini
Mkuu .... alikuwa na haki kudai ....pesa yake ...

According to workers compensation act .....inadai kama umetumia pesa Yako Kwa mazingira ya kazi ya mwajili ..... you have to be refunded
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…