Wazee gani wa Simba kama sio akina Mangungo?#Wazee wa klabu ya Simba hawamtaki aliyewahi kuwa Kaimu Mwenyekiti wa klabu hiyo, Mhina Kaduguda baada ya kusema Fred na Jobe ni wachezaji ambao unaweza kuwapata Tandika na Mwananyamala.
Video : Ayoma TV
MAKOLOoooooooooooooooooo ni wendo wa kuvurugana [emoji23][emoji23]
Walianza hawamtaki Boko ....kocha zoran...... robertinho..... mangungu......try again.....Leo hawamtaki kaduguda [emoji23][emoji23]....
Guess who's next????????View attachment 2943228
Hatari sana mkuuWazee gani wa Simba kama sio akina Mangungo?
Kaduguda kasema ukweli mtupu.Babacar Sarr ni mchezaji wa kawaida sana na akicheza ni mwepesi kupoteza mipira hata kwa challenge ndogo na wachezaji wa daraja la chini
Wewe ndio huwa unasababisha 🐸🐸 fans wote wa hapa jf waonekane hamnazo.Mamelodi watapigwa kile kichapo Cha 5imba [emoji113]G
Mapato yapo ya kutosha ndiyo maana mashabiki wanaingia bure
Kwani anayesajiri ni Mwenyekiti wa Simba Wanachama?Huyo Kaduguda amekosa ulaji tu. Kwani wakati wake Kama kiongozi alikuwa akisajili wachezaji wa aina gani?
Akae atulie.
[emoji23][emoji23]Kwani anayesajiri ni Mwenyekiti wa Simba Wanachama?
Inayosajiri ni Kamati ya Usajiri ya Simba Kampuni iliyo chini ya MO.
Mwenyekiti hahusiki kabisa.
Kama kuna mwanachama wa Simba mwenye uchungu na timu ni Mheshimiwa Kaduguda.
Na anasemaga kweli na kweli tupu kuhusu Simba.
Barbacar na Freddy sio wa kusajiriwa Simba inayoshiriki Club Bingwa Robo fainali
Chasambi ni mara Kumi ya Freddy
Sema tu kipato chake ni cha kawaida.
Babu Kadu kajitolea mambo mengi sana kuisaidia Simba.
Achana kabisa na huyo mtu.
Ukweli ni kuwa
Freddy
Barbacar
Miquessoni
Ntibayonkiza
Ni wachezaji wastaafu na wazee kwa mpira wa leo.
Kocha wa Jwaneng aliwazungumzia pia.
Yanga wanafanya vizuri kwa kuelezana ukweli na kutenda na kuto oneana aibu.
Kocha wa Mamelody na Ntibayonkiza wana Umri sawa.
Miaka 34.
Ndio hivyo ...mkuu uchawa una dili townHuu upuuzi wa machawa ulionzishwa Tanzania umeenea kila mahali sasa. Hao wazee ni machawa tu wa viongozi. Wao badala ya kujadili hoja aliyoianzisha Kaduguda wao wanakimbilia tu kusema hawamtaki Kaduguda. Kwa hali hii itawachukua Simba muda mrefu kutoka kwenye mkwamo waliopo sasa hasa kwenye suala la usajili.
Nina wasiwasi sana na hao wazee hata kama wanaujua mpira vizuri. Mpira ni mchezo wa wazi kabisa na imeshaonekeana wazi viongozi wa Simba wametoa boko la mwaka kuwaacha Baleke na Phiri na kuwaleta Freddy na Jobe ambao viwango vyao vipo chini. Sasa hapo kosa la Kaduguda lipo wapi wakati kasema ukweli? Ilitegemewa kuwa baada ya kuachwa Baleke na Phiri viongozi walete wachezaji wanaowazidi uwezo badala yake wameltwa wachezaji ambao uwezo wao upo chini ya hao waliondoka sasa Kaduguda akisema imekuwa nongwa?
Laban yeye kazi yake ni kuikandia Simba tu na kusifia Utopolo yake hata ikikosea, Popoma yeye anatwanga kotekote,Simba yake ikizingua anawapaka wakifanya vizuri anawasifia,kwa uchache uto wakifanya vuzuri anawasifia ila wakizingua ndiyo anawashushia container 40'.Laban na Popoma ni mapacha
Ghalib ana pesa.Wananchi Wana pesa mkuu
Hakuna shabiki wa hivyo siyo Simba tu hata Yanga hayupo shabiki wa hivyo.Mashabiki wengi wa Simba wanataka kuwa Yanga ila wanahofia namna jamii inayowazunguka itakavyowachulia
Kaduguda kasema ukweli,uongozi wa Mangungu umezingua sana katika usajili kwa misimu mitatu hii,inauma lakini ukweli lazima usemwe. Hata wanachama wenzetu waliomrudisha Mangungu madarakani hawajatutendea haki. Mangungu hana maono yoyote he is old-fashioned.Huyu ni pimbi tu, aliwahi kununua chapati za wachezaji kule Zanzibar za tsh 36k akaja kuzidai kwenye kikao akarudishiwa pesa na team. Mtu wa ivi hata akiniambia 2+2=4 sitamuamini
Unaichambua Simba tu basi, ndiyo ulichosomea.Hapana mkuu....mi ni mchambuzi