Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Post of the threadBibi unavyozidi kuzeeka ndio mahaba yanazidi kukolea [emoji16] kuna siku nilipigwa deep kiss stand yani nmeshuka tu kwenye bus niliwahiwa na mkumbatio na busu zito. Tulivyofika nyumbani hata nafasi ya kuoga kabla ya yote sikupewa. feelings za kummisi umpendae kwa muda mrefu ni burudani sana yani mkiwa wote na feelings hizo kitaalamu tunaita both team to score.
Mapenzi Shamte Shamte
Post of the thread