EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Unatusababishia miwivu tu [emoji57][emoji57][emoji849][emoji849]Saanaaaa yaani hali ya hewa imekuja wakati muafaka [emoji28][emoji28][emoji12][emoji12][emoji12]
Haha usiogope uarabuniLooh, mapishi yote namlisha ila ya uarabuni hapana.
K Mahaba.
Kumbe ndo maana tunashauriwa tuoe watu tunao wazidi uzito, kilo, kimoja, hadi umri. Onana sasa mimi Huyu tunkunyema ntamfanyiaje haya mambo Hahahaha NATANIA
Mbona wengine hatujabahatika kufurahia mahaba hivi, we Kasie hebu sema siri ya mahaba haya
Sent using Jamii Forums mobile app
Walioko kwenye mahusiano yenye uelekeo wanafaidi dunia sana aise na mapenzi ni kama maji hayakwepeki anyways nimalize kwa kuendelea kuamini siyo kila kitu ni cha kila mtu.
Yaani utamu unashuka penyewe mubasharaa....
Kimeumana on fleek [emoji12]
Kiiimeeeeeeee........
Sauti imekwama...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji12]
Mahaba tele kwa bae wa Kasie.
Mwaahh kedekede kwake [emoji3059].
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nimecheka dah wewe kasie nimenyosha mikono ngoja na mimi nijifunze jambo hapa, hivi Kasie hili ni penzi jipya ama ni lile lile la miaka yote,Aahahahahahhaa Iceberg umenifurahisha.....
Sema na moyo wako, chemchem za uhai za ndani ya moyo wako.....
Furahi na nafsi yako kwanza kisha bae wako ataakisiwa na furaha uliyonayo hence Mahaba ya furaha...[emoji39][emoji39]
Ukimpenda, utamlisha vitamu / ukipendwa utalishwa vitamu...[emoji39][emoji39][emoji39]
Nimempikia bae wangu wali ndondo asili ya Tanzania.....
Ananiumaje vdole wakati namlisha, kagoma kula na uma na kisu..[emoji12]
View attachment 1751225
Mahaba hayaa, acha kiumane tuu.
Ni kweli upendo huanza na mimi siwezi penda wengine pasi na kujipenda mimi kwanza.π₯π₯π₯
Kati ya raha za hii dunia, mapenzi ni mojawapo.
Jipende kabla hujapendwa ...
Walioko kwenye mahusiano yenye uelekeo wanafaidi dunia sana aise na mapenzi ni kama maji hayakwepeki anyways nimalize kwa kuendelea kuamini siyo kila kitu ni cha kila mtu.
Hebu niache kwanza niwasindikize waislam kwenye kufuturu....Baaabuuuuuuuu
Wivu wa niniiii......
Aahahahahahhahaaaaaa
Munene na munene....
Mwembamba na mwembamba.....
Mimi na wewe....
Kasie na Asipiro π
Miss you more Big Sam π
Kasie mahaba, Kasie malovee uko vizuriiπAahahahahahhaa Iceberg umenifurahisha.....
Sema na moyo wako, chemchem za uhai za ndani ya moyo wako.....
Furahi na nafsi yako kwanza kisha bae wako ataakisiwa na furaha uliyonayo hence Mahaba ya furaha...ππ
Ukimpenda, utamlisha vitamu / ukipendwa utalishwa vitamu...πππ
Nimempikia bae wangu wali ndondo asili ya Tanzania.....
Ananiumaje vdole wakati namlisha, kagoma kula na uma na kisu..π
View attachment 1751225
Mahaba hayaa, acha kiumane tuu.