Kimeumana...

Kila mmoja aliye kwenye mahusiano
Mwanzoni hucheka na mwisho hilia
Wengine mwanzo mwisho hucheka, just imagine unataka kumwacha mtu bila sababu unamfanyia visa hakuachi siku anasema nimeshindwa nakuacha yeye analia wewe unasema Mungu yupo
 
kuna wanawake wanaweza kufanya uchukue mkopo usio na mpango jaman
 
[emoji3][emoji3] unavyojua kumpromote kwa maneno matamu hadi raha

Aahahahahahhahahaaa

Basi akipita akisoma hapa bichwa linampandaa linakuwa kuubwaaaa....πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Kiukweli namshukuru Mungu kwa ulimi alonijalia, bae huwa hachoki nisikiliza....πŸ₯°.
 

Aahahahahaa
Umenifanya nikumbuke huu wimbo...
Ice ice baby.... vanilla ice ice baby ...ice( iceberg).

Iceberg Mahaba ya Kasie ni Matata kuliko Matata yenyewe. Ukianza fatilia kuwa hilini penzi jipya au lile la miaka yote.... utajikuta nawewe umezama kwenye hilo penzi na kutoka humo hadi uchomolewe na stiglaz goji πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜….

Si wajua Tanga wenda leo kurudi majaliwa.... basi ili usitumbukiemo wee jifunze tuu. Kasie na bae wake wanajuana kama vikombe na vibakuli πŸ˜….

Ila ngoja nimuulize, ati bae wa Kasie...

Wewe ni yule wa siku zote au wewe ni mpya....!???

Iceberg9 nakupa kazi ya kufatilia ishara utazoziona kwenye hii quote, utapata jibu.

Lazima atapita hapa.
 
Yaani nikisoma hizi mada nikiukumbuka wa Harmonize usingizi unapaa

Nimepitwa mie na uzee huu...

Harmonize kafanyaje....??

Hii mada na harmonize inaendeleaje......!??
 
Hebu niache kwanza niwasindikize waislam kwenye kufuturu....

Nimeamua kukaa karibu na Maulana...

Kojoleo nimelishindilia kwenye boxer huko litulie. ...

Aahahahahahaa

Baabuuu, nimekuchukulia Kanzu kutoka Dubei (duka la Perfect Kanzu)

Nyeupeeeee..... na kile kilemba shurti twende kufuturishwa na Mama Dom.

Jiandae kabisa ila usibebe Vant...😜

Aaamiishuuuuuuu, hilo kojoleo linaendaje likizo bila ruhusa ya Kasie πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Mmwaahh ...!
 
Kasie hizi picha ni wewe??

Usimwage mchele....!!

Uliza polepole wasisikie...

Kati ya hizo zote kuna ambazo nipo na bae wangu....

Ukiitambua mezea, usiwaambie wengine.
 
I receive in Jesus name..i love to have all that you wished me for.

love you kwa kweli

Aaameeenn...πŸ™πŸ™

Many more love πŸ’• to you dear.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…