Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Asubuhi ya leo Januari 14, 2025 pameamka na sintofahamu baina ya Daniel Naftali ambaye ni Meneja wa Kampeni(Campaign Manager) wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe akizozana na aliyekuwa Mgombea wa Uenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA)
Taifa Shija Shibeshi
Inaelezwa kuwa chanzo cha zogo hilo ni Naftali kuzungumza na Mwenyekiti wa BAVICHA Misungwi(anapotokea Shibeshi) na pale Shibeshi alipomfata mwenyekiti wake kumuuliza kuna jambo gani ndipo ugomvi ulipoanza.
Shibeshi amedai kuwa alikuwa anataka kuzungumza na kiongozi wake jambo ambalo anaona halikua na shida