One Man Army
JF-Expert Member
- Dec 27, 2011
- 236
- 34
kama dakika 20 hv zimepita hapa moshi stendi demu 1 kachaniwa nguo zake live hpa stend sababu nguo hiyo ilikuwa fupi saaana so watu wakaamua kuchukua sheria mkononi...dah ni noma demu hafai yani, ila thanks kwa polisi waliomsaidia kumpakiza kwenye gari ila ilikuwa too late...ma sista du wa dar karibuni moshi...picha badae kidogo ntawaletea
Huo ni ukiukwaji mkubwa wa khaki za binadamu, kama yeye amevaa kimini wengine inawahusu nini? Na ukifanya utafiti utagundua kuwa wale wanaowazomea ama kuwachania nguo ni wazinzi wakubwa.
Sasa kwa nini hao polisi hawakuwatia nguvuni hao waliomkiuka huyo dada?
yani watu walikuwa wengi sana yan kwa haraka ni kama watu 800 hv coz hata magari yalisimama kwa muda
Hao ni wavunjaji wa sheria na haki sa msingi za binadamu. Hakuna mtu mwenye haki ya kumchania mwenzie nguo na haijalishi mtu kavaa nguo gani. Halafu kama habari ilivyoletwa, eti polisi wamemchukua mdada ili kumnusuru....sasa najiuliza...hao wahalifu ina maana wameachwa bila kutiwa nguvuni?
Hii nchi bana!
watu walikuwa wengi sana kama 800 hv polisi wasingeweza..
kama dakika 20 hv zimepita hapa moshi stendi demu 1 kachaniwa nguo zake live hpa stend sababu nguo hiyo ilikuwa fupi saaana so watu wakaamua kuchukua sheria mkononi...dah ni noma demu hafai yani, ila thanks kwa polisi waliomsaidia kumpakiza kwenye gari ila ilikuwa too late...ma sista du wa dar karibuni moshi...picha badae kidogo ntawaletea
Weka picha tuone acha urongo! Watu 800 ni uongo mkubwa!watu walikuwa wengi sana kama 800 hv polisi wasingeweza..
Weka picha tuone acha urongo! Watu 800 ni uongo mkubwa!