kimini cha mponza...

daah meku, habari ya moshi aisee....maisha yamekuwa magumu vijana wasiokuwa na ajira maalum wamekata tamaa na maisha, wamekuwa kama wendawazimu, kuna mambo mengi ya kuangalia na kuyachukulia hatua za papo kwa papo, sio mrembo kavaa kimini basi udhalilishwe, je wale wanaochukua chao mapema kwanini msiwadhalilishe?
 
Kabla ya kudhalilishwa kashajidhalilisha mwenyewe na wadada wengine,hii ilikuwa ni kukamilisha udhalilishaj,shame on her,anamwonyesha nani vinama vyake?watu wanasaka pesa yeye anatafuta madesa,pu*mb*a-v
 
Nani kasema Tanzania hatuna Taliban wetu?
 
Kabla ya kudhalilishwa kashajidhalilisha mwenyewe na wadada wengine,hii ilikuwa ni kukamilisha udhalilishaj,shame on her,anamwonyesha nani vinama vyake?watu wanasaka pesa yeye anatafuta madesa,pu*mb*a-v
Yeye anavyoonyesha vinyama vyake wewe inakuhusu nini ? na je kumvua nguo ndio kuficha vinyama vyake visionekane, Haya mambo ya kuingilia maisha ya watu ni ufinyu wa fikra
 
Nilijua tu wenye kuingilia comments za watu ka nyie mpo kwani we inakuhusu nin au ndo kudhiirisha ufinyu wako wa akili
Yeye anavyoonyesha vinyama vyake wewe inakuhusu nini ? na je kumvua nguo ndio kuficha vinyama vyake visionekane, Haya mambo ya kuingilia maisha ya watu ni ufinyu wa fikra
 
Nilijua tu wenye kuingilia comments za watu ka nyie mpo kwani we inakuhusu nin au ndo kudhiirisha ufinyu wako wa akili
Open forum mtu ukiandika kitu unakuwa open kujibiwa (that's why kuna reply with qoute button, kama wewe ulivyonijibu).., ila nguo aliyovaa mtu inakuhusu nini wewe kama nyama zipo nje, na kama nyama zake zinakukera ningeelewa ungesema apewe msaada wa nguo na sio kuvuliwa...

In short sioni ni vipi unaweza kutetea huu uhuni, udhalilishaji, uvunjaji sheria na ukosefu wa busara na ubakaji
 
Shukrani mkuu,ila hata yeye huyo sister alitembea open space thats why akakwaza watu na ndo reaction ikafata
 
Huo ni ushamba na kutokuthamini au kuheshimu utu na haki ya mtu
 
wazee hii kitu ni kweli mimi mwenyewe nilikuwa eneo la tukio tena huyo demu alikuwa amevaa gauni la njano...dahh yan nilimuonea huruma mpka bac
 
Huo ni ukiukwaji mkubwa wa khaki za binadamu, kama yeye amevaa kimini wengine inawahusu nini? Na ukifanya utafiti utagundua kuwa wale wanaowazomea ama kuwachania nguo ni wazinzi wakubwa.

Haki za binadamu ndo kuvaa nguo ambazo haziitiri mwili sawasawa?
 
Haki za binadamu ndo kuvaa nguo ambazo haziitiri mwili sawasawa?
Hata kama kuvaa nguo kama hizo kwenye umati wa watu ingekuwa ni kosa la kisheria haki za binadamu ni mtu kupata hukumu stahiki na sio watu kumdhalilisha mbele ya umati na kumtoa hata kile alichokuwa amejisetiri..

Kwa ufupi hakuna definition nyingine tunayoweza kuwapa watu waliofanya hivyo zaidi ya wahuni na wakosa busara
 
kwa hiyo hiyo mijanaume yenye nguvu na akili(ingawa sijui kama timamu) ndo wamejiona wamefanya jambo la maaaaaanaaaaaaaaaa?
 
kila mtu anaweza kusema lake lakini tujiulize wadada kuvaa vimini na kuacha sehemu zao za siri nje ndio haki za binadamu au ndio uvunjifu wa haki zenyewe? tukumbuke kila haki ina wajibu, katika sheria za haki za binadamu mtu haruhusiwi kufanya jambo lolote ambalo litahatarisha umma ua kukera umma kwa kisingizio cha maendeleo ya sayansi ya inzi na teke linalokujia, kama umma unakerwa na jambo unalofanya au unalotaka kufanya basi umma una haki ya kutoona suala hilo kufanyika mbele yake

kuvaa vimini ni dhambi pia ndio maana Mungu aliwatengenezea adamu na hawa mavazi ya ngozi yenye kusitiri uchi. Biblia inasema mtu yeyote aletaye neno la kukwaza yampasa atupwe jehanaum ya moto

mm napita tu
 
hakuna haki ya binadamu mtu kuvaa nusu uchi na kutia kichefuchefu kwa jamii

hivi wanawake mnafikiri watu wanapenda kuangalia mapaja na maeneo yenu ya siri, kwa taarifa zenu kwa jamii ni kero, mnatia kichefuchefu na wengine hutamani kutapika wakiona mmevaa vimini
 

Mkuu are you serious kuvaa mini ni mambo yaliyokuja sasa wenye sayansi na teknolijia naomba uangalia mini zilianza kuvaliwa lini na utajua kwamba hili sio la jana wala leo..., kwahio unadvocate watu kuchukua sheria mikononi mwao sababu wanakerwa na kitu (kwanini wasifumbe macho au kutazama pembeni) and where do we draw the line kwamba ni lipi linakera kutokuvaa suruali au kila mtu kuvaa hijab.. where do we draw the line ya kuwavua watu na kuwaambia jinsi ya kuvaa

kuvaa vimini ni dhambi pia ndio maana Mungu aliwatengenezea adamu na hawa mavazi ya ngozi yenye kusitiri uchi. Biblia inasema mtu yeyote aletaye neno la kukwaza yampasa atupwe jehanaum ya moto

mm napita tu

Serious Mkuu really...? ni dini gani hio au kitabu gani kinachokwambia hivyo ?,
 
safi sana. kama angetaka kuvaa kichupi icho siangevaa nyumbani kwao akawaonyesh wazazi wake na kaka zake kuwa ana mambo si mchezo.
 
Eeka Mangi.........wewe ndiye JF THINKER.......wengi wameburuzwa na hii khabari ambayo haina ushahidi wowote na wala hakuna chombo chochote cha khabari ambacho kimetujuza..........abandike picha hapa vinginevyo hatuikubali..............

hahahaa naona wadau wanataka picha ili wajionee utamu wenyewe duuu si mfunguke tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…