Kimodo hangaika nacho

hahahaa!! duh!! e-banaee! yani hana nyama hata kidogo, ni mifupa na ngozi tu!
 
hahahaa!! duh!! e-banaee! yani hana nyama hata kidogo, ni mifupa na ngozi tu!
..Usiombe akutie kabali huyo au akuchape kibao...utadhani umekutana na kipande cha ubao wa mninga!!!:A S 103:
 
mbona uso una nyamaaaaaaaa????????????yani uso umetononoka..........:mmph::mmph:
 
mbona uso una nyamaaaaaaaa????????????yani uso umetononoka..........:mmph::mmph:

hiyo ndio tofauti ya mwembamba wa asili na wa kujikomdesha.,...wa asili sura yote hubaki imejaa,..ila wa kujikondesha/wa njaa sura humuumbua,...inkuwa ya kitapiamlo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…