Kimomwe motors

beenz

Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
21
Reaction score
5
KIMOMWE MOTORS LTD WAAGIZAJI WA MAGARI KUTOKA NCHI ZA JAPANI ,UK,DUBAI NA SINGAPORE .
MALIPO YA GARI NI AWAMU MBILI MFANO GARI MILIONI 12 UTALIPIA MILIONI 6 KWA MALIPO YA AWALI KISHA IFIKAPO BANDARINI UTAMALIZIA KIASI KILICHOBAKIA.

KARIBU TUAGIZIE GARI PIA TUKUPATIE NA USHAURI KUHUSU GARI GANI INAFAA KULINGANA NA MAZINGIRA ULIOPO ,MATUMIZI BORA YA MAFUTA NA UPATIKANAJI WA SPEA ZAKE KWA HURAHISI. PIA KAMPUNI INATOA OFFER YA SERVICE NDOGO BAADA YA GARI KUFIKA .

KAMPUNI INAPATIKANA MAGOMENI MAPIPA JENGO LA RUBEYA HOUSE GOROFA YA KWANZA MKABALA NA KITUO CHA MABASI YA MWENDOKASI. KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA.
0764007480 NA 0717621067
 

Attachments

  • 20190711_123746.jpg
    31.3 KB · Views: 16
  • 20190711_123531.jpg
    34.5 KB · Views: 13
  • 20190711_123322.jpg
    36 KB · Views: 12
Ha ha ha commission yako unacharge USD ngapi kwa kila gari? Bado risk ya kutapeliwa. #Udalali_ulioboreshwa#
 
Suzuki escudo old model 2001 4wd. bei gani mpaka mkononi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…