Kimuhemuhe cha Harusi Chaua

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
pole yao na iwe fundisho kwa wengine maana wapo wengi wa aina yao, mtu anafanya harusi ya kifahari alafu baada ya hapo anakufa na madeni ya watu. Hakuna haja ya kuuaminisha ulimwengu kuwa una uwezo wa kifedha kwa fedha za mikopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…