Kimuhemuhe cha umiliki wa Gari ya kwanza

Haaha siku nikija nunua gari nahisi day 1 ntalala ndani ya gari😂😂 pia kuiacha gari nje mimi nilale ndani sijui kama usingizi utakuja. Hongereni wote mlioweza kuwa na magari. Napenda IST new model iwe gari yangu ya kwanza😛
Hiyo IST inanifurahisha kutokana na muundo wake kama kiatu cha mtoto 😆
 
Mimi kama sina dili la uhakika wa Pesa naacha gari home vizur napanda zangu daladala kwa amani,
Sema huwa natokaga muda ambao najua hakuna usafir wa shida, sitoki asubuh wala sirud jioni, natoka kuanzia saa 4 asubuh kunakua hakuna shida ya usafir na narudi kabla ya jioni.
 
Hahahaa uzi unachekesha sana huu, CCM imefukarisha na kudunisha maisha ya watu wengi saana
 
Lazima uwe makini na abiria wako wakati wa kufunga milango don't bang,bila kusahau ma airfresh gari inukie vizuri na ukiona mtoto mzuri unataka umpatie lift.

Nipo najichanga niende BFOWARD kuchukua HONDA CROSSROAD nyeusi.

Kuwa na gari raha sana, yaan hata mwanamke ulie nae unamfanya anajiamini anakuwa superior mbele ya mashoga zake, utasikia anawaambia gari ya mume wangu ile inakuja msiondoke tawapa lift.
 
Bila shaka ulitimiza kupata hiyo Gari mkuu, unaendeleaje nayo?
 
Kwa tunaotoka familia maskini ni Kweli kabisa hata likizo utachukua ili uende na gari lako!
 
Ngoja niendelee kusikiliza wimbo wa Zabron Singers "Nitadrive"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…