Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Lakini akiwa nje ya nchi wanamuona kama kitukoRais wa Tanzania ndani ya Tanzania ana mamlaka makubwa kuliko Rais wa Marekani ndani ya Marekani.
Kumbuka hilo.
Hizo ni fikra zako tu.Lakini akiwa nje ya nchi wanamuona kama kituko
Nb
Uingereza walipakiwa kwenye mabasi kama wanafunzi[emoji23]
Sijui unaweza nionyesha kideo raisi wamarekani akiwa amewekwa kwenye Bus kule mazikoni!?Hizo ni fikra zako tu.
Kwani walienda kutembea kule au walienda mazikoni?
Ninachojua ufalme ni utawala ambao mtawala hana ukomo wa kutawala. Tusifiche ukweli mfalme Tanzania ni DJ pekee. Mpaka sasa haijulikana kama atastaafu ama atastaafishwa na kama akistaafishwa ni kwa damu au kwa amani hayo yote tunayasubiri.
Kumbuka kuwa Rais wa Marekani hapandi gari la popote, anasafiri na gari lake.Sijui unaweza nionyesha kideo raisi wamarekani akiwa amewekwa kwenye Bus kule mazikoni!?
Vilevile watz ila kule hana lakuamua wanpeleka watakavyo inakuaje mtu mwenye mamlaka madogo nchini kwake awe nausafiri binafsi wewe mwenye mamlaka upelekwe kama mwanafunzi?Kumbuka kuwa Rais wa Marekani hapandi gari la popote, anasafiri na gari lake.
Kpanda basi na wenzako hakukufanyi uwe mwanafunzi huo ni uungwana, ile ndiyo kujumuika pamoja mazikoni. Elewa kuwa hawakustukizwa, labda kasome kuhusu "itinerary protocol" utanielewa.Vilevile watz ila kule hana lakuamua wanpeleka watakavyo inakuaje mtu mwenye mamlaka madogo nchini kwake awe nausafiri binafsi wewe mwenye mamlaka upelekwe kama mwanafunzi?
Apige tu.... Tundu Lissu amepiga kelele sana kuhusu URAIS WA KIFALME kwa Katiba iliyopo. Hiyo ndio maana yake.
Kwasababu huelewekiKpanda basi na wenzako hakukufanyi uwe mwanafunzi huo ni uungwana, ile ndiyo kujumuika pamoja mazikoni. Elewa kuwa hawakustukizwa, labda kasome kuhusu "itinerary protocol" utanielewa.
Mkapa alipokuwa Rais, alivyoenda kupeleka posa ya mwanawe, aliwacha kwenda na magari yote ya Ikulu akapanda daladala.
Ni namna moja ya heshima, lakini kwa ufinyu unaouonesha nafikiri hautanielewa.
Hello JF,
Sup ya kimangungo version II ya sakata la Bandari.
Kimuundo CCM ni chama ambacho mtu akiwa Rais na mwenyekiti anakuwa mungu wa nchi na wana CCM wenyewe, ni zaidi ya Mfalme.
Kwa maana hiyo secretariat ya CCM huko kwenye majukwaa hawa akina Chongolo na mapopoma wengine wote wa CCM wako kama tumbili au ngedere wapiga kelele kama za Chula.
Hawaelewi chochote. Uzezeta ni zao la kupwaya kiakili na ukosefu wa maarifa mtambuka.
CCM kwa sasa ni tambala bovu.
Kule kokoto mkifura.
Ni hayo bado tutakuja na mawe zaidi.
Wadiz ndio mimi.
Kwani Urusi viongozi wa kiafrica wamepanda coaster pia?Vilevile watz ila kule hana lakuamua wanpeleka watakavyo inakuaje mtu mwenye mamlaka madogo nchini kwake awe nausafiri binafsi wewe mwenye mamlaka upelekwe kama mwanafunzi?
tunaongelea tukio jingine mkuu kama nahilo lipo litafutie mahala pakeKwani Urusi viongozi wa kiafrica wamepanda coaster pia?