1995_No_Ku_Fake
JF-Expert Member
- Aug 24, 2026
- 1,561
- 3,328
- Thread starter
-
- #61
Leo hauchachui?Amell asubuhi yote hii😆
Nilichangamka kdg juzi leo nna dose bamnyogode!Leo hauchachui?
Kuna nini huko?
Usichelewe Sasa.Najifeel ku die aseee...kwa haya nipitayo
Unatoa wapi Hela ya bando?Kuna kipindi mtu ananyamaza si kwa sababu hana cha kusema, bali kwa sababu amechoka kueleza anachopitia.
Kwa sasa nimefika sehemu ambayo sina mengi ya kuomba kwa watu. Nimeamua kumtegemea Mungu, nijikusanye na nitafute njia ya kusimama tena.
Mwenye kunielewa, Mungu ambariki. 🙏🏾
Kuna mtu anaomba 20K ya mkopo ndugu VARKuna nini huko?
Happy to see you again here.
Alifungua huo uzi ukafutwa na Mod's ndio akafungua huu na kubadili lugha tu ili mod's wasimshtukie.
Aisee binadamu wa sikuhizi hamna huruma😂Usichelewe Sasa.
Hakuna mbinu yeyote ya kijasusi hapo,Kumbe dogo kitambo sana kwenye game! Na ana mbinu za kijasusi🫡
Atasingizia wifi za majirani, sjui wanatoaga wapi passwordUnatoa wapi Hela ya bando?
Kwani bado yupo hai tu mpaka sasa!?Usichelewe Sasa.