sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
14/10/2018 katika nchi ya Guinea-Bissau, kulikua na mechi ya kuwania kufuzu AFCON, ambapo wenyeji waliwakaribisha 'miamba ya soka' Zambia na matokeo ni wenyeji walishinda 2-1.
Jambo la kushangaza ni baada filimbi ya kumaliza mpira kupulizwa, Kocha Mkuu wa Guinea-Bissau alianguka na kuzimia. Vyanzo mbalimbali vinadai sababu ya kocha huyo kuzimia ni;
1. Kocha huyo hakutegemea kushinda mechi hiyo.. Ikumbukwe siku chache zilizopita waligongwa 2-1 na Zambia. Katika mechi hiyo Zambia ilitawala mpira kwa kiwango kikubwa huku, Clatous Chota Chama akiwa man of the match.
2. Zambia ambayo iliongozwa vyema na mchezaji wake tegemeo, Clatous Chota Chama anayechezea Simba SC iliupiga mpira mwingi sana siku hiyo, kitendo kilichofanya Kocha huyo pressure yake kuwa juu katika mda wote wa mchezo.
Kwa sasa Kocha Mkuu wa Guinea-Bissau anaendelea vizuri.
"Chonde chonde Kocha Mkuu wa Stand United kacheki afya yako mapema maana 21/10/2018 utakutana na dhahama la Chama" - Sembo
Source: Coach Collapses, Rushed To Hospital After Winning AFCON Qualifying Match. Photos | National Helm