Kina Chama Wasababisha Kocha Mkuu Azimie Uwanjani.

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
14/10/2018 katika nchi ya Guinea-Bissau, kulikua na mechi ya kuwania kufuzu AFCON, ambapo wenyeji waliwakaribisha 'miamba ya soka' Zambia na matokeo ni wenyeji walishinda 2-1.
Jambo la kushangaza ni baada filimbi ya kumaliza mpira kupulizwa, Kocha Mkuu wa Guinea-Bissau alianguka na kuzimia. Vyanzo mbalimbali vinadai sababu ya kocha huyo kuzimia ni;
1. Kocha huyo hakutegemea kushinda mechi hiyo.. Ikumbukwe siku chache zilizopita waligongwa 2-1 na Zambia. Katika mechi hiyo Zambia ilitawala mpira kwa kiwango kikubwa huku, Clatous Chota Chama akiwa man of the match.
2. Zambia ambayo iliongozwa vyema na mchezaji wake tegemeo, Clatous Chota Chama anayechezea Simba SC iliupiga mpira mwingi sana siku hiyo, kitendo kilichofanya Kocha huyo pressure yake kuwa juu katika mda wote wa mchezo.

Kwa sasa Kocha Mkuu wa Guinea-Bissau anaendelea vizuri.

"Chonde chonde Kocha Mkuu wa Stand United kacheki afya yako mapema maana 21/10/2018 utakutana na dhahama la Chama" - Sembo

Source: Coach Collapses, Rushed To Hospital After Winning AFCON Qualifying Match. Photos | National Helm
 
Mkuu akina Chama hawatakuwa na mzuka wa kucheza coz mlezi wao katekwa,itawaathiri sana
 
Inaweza ikawa hivyo.. Ila nachoamini mimi.. Mechi hiyo wachezaji wataitumia kuidedicate kwake kwa kupata ushindi mkubwa sana ambao utamfariji huko alipo.
 
14/10/2018 katika nchi ya Guinea-Bissau, kulikua na mechi ya kuwania kufuzu AFCON, ambapo wenyeji waliwakaribisha 'miamba ya soka' Zambia na matokeo ni wenyeji walishinda 2-1.
Jambo la kushangaza ni baada filimbi ya kumaliza mpira kupulizwa, Kocha Mkuu wa Guinea-Bissau alianguka na kuzimia. Vyanzo mbalimbali vinadai sababu ya kocha huyo kuzimia ni;
1. Kocha huyo hakutegemea kushinda mechi hiyo.. Ikumbukwe siku chache zilizopita waligongwa 2-1 na Zambia. Katika mechi hiyo Zambia ilitawala mpira kwa kiwango kikubwa huku, Clatous Chota Chama akiwa man of the match.
2. Zambia ambayo iliongozwa vyema na mchezaji wake tegemeo, Clatous Chota Chama anayechezea Simba SC iliupiga mpira mwingi sana siku hiyo, kitendo kilichofanya Kocha huyo pressure yake kuwa juu katika mda wote wa mchezo.

Kwa sasa Kocha Mkuu wa Guinea-Bissau anaendelea vizuri.

"Chonde chonde Kocha Mkuu wa Stand United kacheki afya yako mapema maana 21/10/2018 utakutana na dhahama la Chama" - Sembo

Source: Coach Collapses, Rushed To Hospital After Winning AFCON Qualifying Match. Photos | National Helm
Huyo kocha aondolewe maana afya yake si nzuri .
 
Vyanzo mbalimbali vya habari toka Guinea-Bissau vinadai Kocha huyo hakuwahi kua na matatizo ya afya kabla.. Na madaktari mpaka sasa wanajiuliza imewezekanaje kwa mtu ambae afya yake ilikua gado kabisa kabla ya mpira kuugua ghafla?!

NB: Chama na genge lake si watu wazuri.
 
Huyo kocha ingekua hapa kwetu ingelitosha kabisaa kumuita mwanaume wa Dar!!
 
14/10/2018 katika nchi ya Guinea-Bissau, kulikua na mechi ya kuwania kufuzu AFCON, ambapo wenyeji waliwakaribisha 'miamba ya soka' Zambia na matokeo ni wenyeji walishinda 2-1.
Jambo la kushangaza ni baada filimbi ya kumaliza mpira kupulizwa, Kocha Mkuu wa Guinea-Bissau alianguka na kuzimia. Vyanzo mbalimbali vinadai sababu ya kocha huyo kuzimia ni;
1. Kocha huyo hakutegemea kushinda mechi hiyo.. Ikumbukwe siku chache zilizopita waligongwa 2-1 na Zambia. Katika mechi hiyo Zambia ilitawala mpira kwa kiwango kikubwa huku, Clatous Chota Chama akiwa man of the match.
2. Zambia ambayo iliongozwa vyema na mchezaji wake tegemeo, Clatous Chota Chama anayechezea Simba SC iliupiga mpira mwingi sana siku hiyo, kitendo kilichofanya Kocha huyo pressure yake kuwa juu katika mda wote wa mchezo.

Kwa sasa Kocha Mkuu wa Guinea-Bissau anaendelea vizuri.

"Chonde chonde Kocha Mkuu wa Stand United kacheki afya yako mapema maana 21/10/2018 utakutana na dhahama la Chama" - Sembo

Source: Coach Collapses, Rushed To Hospital After Winning AFCON Qualifying Match. Photos | National Helm
Watani zetu mnajua sana kujifariji. Embu tupe na kilichotokea kwenye match ya akina Niyonzima au siku hizi hana issue tena mambo ni Chama.
 
Mkuu mbona upadate zote natoa katika Uzi huu Nyota 5 'wa Kimataifa' wa Simba SC kulitetemesha bara La Afrika. - JamiiForums .. We unakua wapi mda wote??

Ila kwa kifupi kina Niyonzima walifungwa 2-0. Goli la kwanza ni la penalty ambayo kiuhalisia haikutakiwa iwe penalty, la pili nalo ilikua ni clear offside lakini refa alibebwa. Huwezi amini siku hiyo MK14 kila akiingia ndani ya 18 offside mara faulo.. kwa kifupi ilikua ni vuluvulu.

Ila leo Rwanda anamkaribisha Guinea.. Sasa subiri uone moto wake.
 
Back
Top Bottom