Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mkuu, the truth is kama mwanamke anakupenda kweli na anakuheshimu hawezi fake coz ni sawa na kukudanganya. na kama wewe unampenda kweli na unamjua vizuri utajua tu when she needs more of this or less of that...Kwanini mna fake orgasm?