Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,101
- 1,952
Kuna maada ilipatwa kuzungumzwa na kituo cha radio mahali. Wanawake walio kwenye ndoa walikuwa wanajieleza jinsi wanavyopanga kuwaacha waume zao - mara jambo fulani wanalolitegemea likikamilika. Mmoja alikuwa anasubiri mtoto wao wa mwisho aingie sekondari, mwingine alikuwa anasubiri amalize masomo aliyokuwa analipiwa na mumewe, n.k, n.k.
Kina dada, yaani unaweza kuingia kwenye ndoa ukiwa umepanga kabla na mapema kuwa baada ya hatua fulani kimaisha ikifikia unamuacha jamaa solemba??

Hii ni kweli wengine wanajiwekea mikakati mapema akijienga nyumba kijijini kwao, akijenga nyumba mjini, akiwa na account yenye zaidi 10m anaanza vitimbi ili aachike aanze maisha mapya hii ipo sana na nimeshuhudia

Fidel wale wadada wa mjini wanajulikana sana kwanza nilisikia eti wanataka kuanzisha kikundi sijui kitu gani crap crap tupu kwenda mbeleHii ni kweli wengine wanajiwekea mikakati mapema akijienga nyumba kijijini kwao, akijenga nyumba mjini, akiwa na account yenye zaidi 10m anaanza vitimbi ili aachike aanze maisha mapya hii ipo sana na nimeshuhudia
Hao walikuwa wanaume wa zamani, mwanaume gani wa sasa atakuachia hela yake mpaka ufanikishe kujenga nyumba kijijini kwenu au kuwa na account yenye hata 5. Labda uwe umemuwekea (nchekea mbingu)
Hao walikuwa wanaume wa zamani, mwanaume gani wa sasa atakuachia hela yake mpaka ufanikishe kujenga nyumba kijijini kwenu au kuwa na account yenye hata 5m. Labda uwe umemuwekea (nchekea mbingu)
Hela za mboga mnaweka kwenye kibubu
Yalikuwa yakitokea sana kwa ndugu zetu fulani wa kanda ya kaskazini,hata kuua.Kwa hivi sasa sina uhakika.
Unajua nimekumissUdaku tu!GROAN!!!