nilikumiso aisee, nilizani invizibo amefanya vitu vyake lakini baada kuulizia nikaambiwa uko salama nikajiskia nimeongezeka weight ghafla! karib tena bht a.k.a Miss Jukwaa la mahusiano na mapenzi
Hebu mnisaidie wajameni, huyu binti Egyps-women mbona kama? I mean sijui nisemeje manake kama mgeni sio mgeni au mi ndo nimekuwa mgeni uenyejini? Hebu do ze nidiful Egyps (off topi)
ha ha ha!
li-sredi linakimbia kweli
LAKINI ACHENI KU-FOSI FOSI MAMBO NINYI WAKINA-DADA...!
tena wengi wao huwa wanaamini kuwa SEX PEKEE,na MIMBA ndio kinga za wao kuolewa....!watu watawamega na kuwaacha
misd u too my crazy bro!!! lol!!! aaaah invizibo atanifanya mimi mie mwananchi mtiifu kwa sheria za sirikali yake!!??
hapo kwenye buluu nina shaka na majaji waliohusika.......
ha ha ha!
li-sredi linakimbia kweli
LAKINI ACHENI KU-FOSI FOSI MAMBO NINYI WAKINA-DADA...!
tena wengi wao huwa wanaamini kuwa SEX PEKEE,na MIMBA ndio kinga za wao kuolewa....!watu watawamega na kuwaacha
say it again please!LOUDLY AND CLEAR......!kwani tenses hukusoma wewe mpwaz??
sema 'wantumega na kutuacha vile vile'.....
kwani tenses hukusoma wewe mpwaz??
sema 'wantumega na kutuacha vile vile'.....
siku hizi wanaume TUMEPANDA BEI!...kuna ka-binti kamoja huwa napiga nao infidelity kanasema kako tayari kuwa ka-mke ka tatu,ilimradi tu NITANGAZE NIA:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:Nasikitika sana kina dada hatuelewi kina kaka hawategeki..wanafanya maamuzi yao kamili wakiwa wamedhamilia ..Na nyie wanaume mmekuwaje mbona mnakuwa wagumu kutangaza nia?mpaka mtegeshewe....Naona huyu dada alikuwa anampenda jamaa kutoka moyoni ..akili yake ikamtuma kufanya hayo madudu akiamini atafanikiwa kumshawishi jamaa mambo yakawa sivyo ndivyo:biggrin1:
Mimi hapa simwangalii sana huyu binti na makosa yake maana kila mtu anafanya makosa kwa nafasi yake na inawezekana kwenye wachangiaji hapa kuna waliofanya makosa makubwa zaidi ya huyu binti.
Kikubwa ninachokiangalia hapa na kukifikiria ni huyu mtoto ambaye anaweza au ameshaanza kupata matatizo ya kimalezi kutokana na yanayoendelea baina ya wazazi wao. Kwangu mimi huyu binti atulize akili hata kama jamaa hatotangaza nia haijalishi, yeye amlelee mwanaye ambaye ndie anaweza kuja kuwa mtu wa muhimu kwenye maisha yake kuliko kuling'ang'ania janaume hilo.
Na kama huyu binti anasoma hapa namwambia wala hasijaribu kujuta kwa kilichotokea kwenye maisha yake ni mambo ya kawaida sana cha muhimu ni yeye kuweka mikakati ya kumlea mwanae.
Pia aondoe hayo mawazo ya kwenda kuishi huko kwa hilo janaume maana sio mtu mzuri anaweza kuwa na roho ya ibilisi mwanaharamu shetani mlaaniwa akazidi kumuharibia mipangilio ya maisha yake.
Mwisho aende kanisani (kama ni Mkristo) atubu na kurudishwa kundini na kumshukuru MUNGU kwa zawadi ya mtoto aliyompa.
siku hizi wanaume TUMEPANDA BEI!...kuna ka-binti kamoja huwa napiga nao infidelity kanasema kako tayari kuwa ka-mke ka tatu,ilimradi tu NITANGAZE NIA:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
say it again please!LOUDLY AND CLEAR......!
:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:!nasikia mzee upo burundi
Shost umekuja kimya kimya zamani walikuwa wanaleta peremende ..au senene .. umekuja na nini??
Too sad! Ila kusema kweli sisi akina dada tukishapenda tunakua vipofu. Binafsi yamenikuta mengi.
Somo nililolipata katika maisha ni kwamba. Swala la mapenzi halihitaji ushauri!!
Mapenzi ni maamuzi. na ushauri unahitajika kabla ya maamuzi!!
Ingekuwa Kaizer, Teamo,Xpin,Fidel ,Swahilian ,Mfamaji, mwanakijiji ,Askof na wengineo wengi mko katika hilistuation ya hilo goma mngechua hatua gani? from bottom of ur heart:A S-rose:
Sisi hatuna Infidelity... (labda hao wenye ma-experience watajibu)
Huyu dada alisukumwa na mapenzi makubwa aliyokuwa nayo kwa huyo kijana kufanya hivyo alivyofanya..., hakutaka kumkosa lakini akujua alikaba sana mpaka ikaponyoka... Makosa yapo, kosa la kwanza lilikuwa kushika mimba bila idhini ya mwanaume (na inaonekana hakujiandaa kuwa singo madha), kosa lingine ni kung'ang'ania maana kijana ameonyesha hana mapenzi kwa binti na atamuharibia tu maisha. Cha msingi yeye anyanyuke hapo alipoanguka, ajipanguse na aendelee na maisha... Huyo mtoto anamuhitaji sasa more then ever... kosa kubwa litakuwa kurudia kosa.
wakati mwingine sio mapenzi/upendo bwana, wengine wanasukumwa na kiherehere/kutamani ndoa, wakifikiri huku tunachimba dhahabu....sio wote wajishikishao wanajishikisha kwa mapenzi, wengine tamaa zao tu zinawaponza.
Whatever the case... yeye bado ni mdogo sana, at least she has learned her lesson... amtunze mtoto wake na aendelee na maisha.