Kina dada this is too much kwakweli

Mwenzangu uliwahi kusikia ule usemi,Dunia uwanja wa fujo kila mwenye ngoma yake hucheza! kila mtu na alivyo lelewa,
wewe unaweza kuona nikituko sababu ya malezi au niseme hujawahi kuona kituko kama hicho. usishangae sana ndio mambo..
 

Hata wanaume pia nao mambo hayohayo..siku hizi si ajabu kuona chupi ya mwanaume inaning'inia kwa nyuma and in some cases nimeshuhudia hata ****** yameachwa nje kwa chupi(sijui ndio boxer vile..?) kushuka chini sana pindi wanapoinama au kushika mabomba ktk daladala....so kaka kama ni kutia watu majaribuni ht nyie pia manayafanya hayo....
 
MUNGU mweyewe aliwafanyia nguo Adam na Hawa kwa kuchuna ngozi ya mnyama dada nadhani hiyo siyo biblia unayosoma

I might have missed that verse, ninachokumbuka ni kuwa walijifunika majani.

Anyway, point yangu ni kuwa. Huyo dada hajatenda dhambi yoyote kwa kuvaa nguo chache. Atendaye makosa ni yule aliyemuangalia kwa kumtamani!

Kama aliona amekosea, kwanini hakumwambia right away? Anakuja anahukumu kwa tafsiri yake kuwa kina dada kwa kuvaa nguo chache wanatangaza miili yao!

Hakufikiria kuwa, huenda anasikia joto? Mbona hawasemi wamasai wanaovaa shuka moja tu na kuacha kengere wazi.
 
Kwa hiyo mnapomtetea huyo dada mnataka kutuambia nini. Je angekuwa na baba yake mzazi angethubutu kumvalia hivyo? Na je kama angekuwa mke wa mtu mume wake angemruhusu atembee hivyo? Ni vizuri turudi kwenye misingi. Kama ni suala la joto basi wanawake wote wangefeel na kukaa kama yeye. Suala ni kwamba shetani anatenda kazi ndani yake, kwa hiyo anasimama pale kama chombo cha shetani. Soma tu misitari ya mfalme Suleimani, mtu mwenye hekima uone yeye anakuunga mkono au la.Mithal 5:14-23. "mwanangu mbona unashangilia malaya na kukikumbatia kifua cha mgeni?................................atakufa huyo kwa kukosa maonyo, naye atapotea kwa wingi wa ujinga wake.
 
Kumbe the reason behind nyie kuvaa uchi siku hizi ni kuwa mnakaribia umalaika sio?? kwahiyo wale wanaotembea uchi pale karibia na kituo cha afrika sana nao ni malaika woote..nimekuelewa sasa..angels of evil..

hehehehehehe jamani uchi unavaliwa?
 
Pengine ni mchanganyiko wa mambo na inawezekana kuwa kwake ana msimamo kuwa yuko huru na hivyo ndio njia ya kuonyesha uhuru wake.
 
wacha waachie utamu nje bana na sie tupate kufaidi
 
Peleka maoni yako kwenye mchakato wa katiba mpya!!
Au uhamie Afughanistan kabisa...
 
Hata wakitembea uchi poa si wanawake hawa ni sawa. Sema shida kwa wale wenye mama zao walio hai alafu bahati mbaya umeongozana nae utaomba upofu mara moja alafu baada ya tukio uone tena.
 
kiukweli dada zetu wamezidh unamkuta mdada mzm kavaa chupi ndefu na kitop jaman tujalibu kufunguka ndio mana siku hiz hata filamu za kibongo hazina madili zinachangia kuhalibu madili ya watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…