Kina dada this is too much kwakweli

hii nimeikubali kiaina...mwana siasa nini wewe????
 
labda amepaka dawa inamuwasha ivyo anatakiwa apate upepo kizazini sasa wewe unakaa kumpiga chabo sasa hasingekaa vile we ungepata cha kuandika humu??? kila kitu kinatokea kwa sababu maalum
 

okey queen of devil
 
Kwa nini wadada mmekua wakali sana kwa hii thread?
Maty............ni kwa sababu tamaa za watu wachache hazituhusu!
Atakaeguswa na akataze familia yake and the whole clan of his/her. Au akaombe dressing code serikalini...

Kama tatizo ni kuacha upaja nje, mbona kuna shows kama zile za makirikiri watu wanafurahia kuona mapaja ya wale wa dada?? Again kuna shows za BBA na mashindano ya mamiss na watu waona raha tu kuosha macho??

Every now and then....people mnajazana kwenye masebene ya ngwasuma na twangapepeta.....kwani wale wanenguaji huwa wamefunika mapaja???
 
Last edited by a moderator:
mkuu pamoja na utetezi wako wote, naona bado kuna tatizo!
 
Last edited by a moderator:
Nyie ndo mnasababisha haya...kungekuwa hakuna soko, yasingekuwepo haya.
 
Kaunga nitapenda Jumapili kuhudhuria Ibada utakayoendesha wewe; nipe jina la kanisa na ni ibada ya ngapi
 
Last edited by a moderator:
mkubwa tatizo hujatembea.tembea uone mengi.nilikuwa Niger huko noma mkubwa.sio vikanga vichupi muda wote.Halafu totoz kweli mimate itakumwagika debe zima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…