rakeyescarl
JF-Expert Member
- Dec 9, 2007
- 481
- 147
Hello!! Get new issue,acha mambo haya. Nimepita tu!Natanguliza shukurani dada zangu,Hivi kwanini kina dada hujipamba hata kama ni mzuri wa kuzaliwa?I mean wenye nyele nzuri wanzitoa na kuweka mawigi ,weusi wanajipaka madawa kuwa weupe,gharama kibao za saloon,manguo ya bei mbaya kila kitu kina aim kwenye gharama kubwa za kujipamba na kuvutia wanume hata kama mtu kishaolewa lakini bado anataka awakoge na kuwavutia wanaume wengien(hata kama mumewe hapendi) ili hali akijua hawezi kuwapa wakiomba au kuwapata-naomba msaada?
duh hili nalo neno wangu, hebu tungoje lizzy,Ashadii,afro D,preta na wengine watupe ukweli mana kama dada kashaolewa anajipodoa amvutie nani?na mara nyingi hujipiga sop sop wanapoenda out na utakuta hata mume anaweza akawa yupo tu home,kazin,nk
Akuvutie wewe mumewe!
Akijiachia mnasema wanawake wanajisahau sana baada ya kuolewa.Lipi jema?
Heeee kwani kujipodoa nako inakuwa kosa?hebu tuacheni bana haya ni manyanyaso sasaWOS ckatai bt mbna smtym mume anakua hayupo then mdada unajipodoa unaenda zako kwenye mitoko, je huko unaenda kumvutia nani?
Hata sijui nlitaka kujibu nini...usiku mwema.WOS ckatai bt mbna smtym mume anakua hayupo then mdada unajipodoa unaenda zako kwenye mitoko, je huko unaenda kumvutia nani?
WOS ckatai bt mbna smtym mume anakua hayupo then mdada unajipodoa unaenda zako kwenye mitoko, je huko unaenda kumvutia nani?
Mkuu
Kujipodoa au kujiachia ni hulka ya mtu. Na kujipodoa hufanyi kwa ajili ya mtu including hata huyo mume.Mwanamke anajipodoa na kupendeza kwa ajili yake yeye mwenyewe. Siyo lazima ajipambe kwa vile mumewe yuko naye tu.Hata akiwa mwenyewe utanashati atauendeleza tu.
Tatizo mnalipua mada..yeye mkubwa point yake ulikuwa ni namna mnavyojipodoa..kama kuvaa mawigi,kujichubua, kubandika makucha n.k..nadhani hajasema mtu awe mchafu..do you mean kinyume cha kujipodoa ni kuwa mchafu.???..acheni kuiga uzungu..black is beauty...Natanguliza shukurani dada zangu,
Hivi kwanini kina dada hujipamba hata kama ni mzuri wa kuzaliwa?
I mean wenye nyele nzuri wanzitoa na kuweka mawigi ,weusi wanajipaka madawa kuwa weupe,gharama kibao za saloon,manguo ya bei mbaya kila kitu kina aim kwenye gharama kubwa za kujipamba na kuvutia wanume hata kama mtu kishaolewa lakini bado anataka awakoge na kuwavutia wanaume wengien(hata kama mumewe hapendi) ili hali akijua hawezi kuwapa wakiomba au kuwapata-naomba msaada?