Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Hawaeleweki!!Kwani kuolewa ndio mwisho wa usafi?Na nyie hamna jema, wanawake tukijipamba mnasema, tukiwa wachafu mnasema. Ni sawa hata kama ameolewa aendelee kuwa smart.
Usafi ni hulka,ni tabia na ni mazoea sio kuigiza.Kama mumewe asipokuepo awe mchafu then ukikaribia kurudi ndio ajipambe??Hiyo itakua adhabu sasa,awe msafi na apendeze muda wote kwa raha zake!!WOS ckatai bt mbna smtym mume anakua hayupo then mdada unajipodoa unaenda zako kwenye mitoko, je huko unaenda kumvutia nani?
Tatizo mnalipua mada..yeye mkubwa point yake ulikuwa ni namna mnavyojipodoa..kama kuvaa mawigi,kujichubua, kubandika makucha n.k..nadhani hajasema mtu awe mchafu..do you mean kinyume cha kujipodoa ni kuwa mchafu.???..acheni kuiga uzungu..black is beauty...
Umenena kaka, dada zetu ni watu wa ajabu sana hawapendi kuwa wakweli na kukubali changamoto mmeulizwa hayo mawigi ya nini wakati una nywele nzuri na za asili? Mikucha ya kubandika ya nini? Mikorogo ya nini? Je uzaliwa na vijikorombezo hivi feki? Semeni ukweli tena wengine unakuta mpenzi wako alikuwa anavaa chupi za pamba safi kabisa lakini ghafla unamuona anaanza kuvaa bikini na thongs kuna nini hapo? Mie ningependa niwe mkwrli wanawake au mabinti tunawapenda sana na hatuwezi ishi bila wao but my dada once told me " Never trust a any woman and you will always be happy"
Kwahiyo unataka watu wakishaolewa waache kupendeza?!
Hawaeleweki!!Kwani kuolewa ndio mwisho wa usafi?
Mwenye mada mwenyewe anaamini huko ndio KUJIREMBA na ndio kunakomfanya mwanamke AVUTIE.Sasa kwanini wanaogaka kuvutia kwa style hiyo wasijitahidi kuvutia?!Acha wafurahishe nafsi zao na za wanaowangalia kila saa.Hahaahahaaaa, jamani Lizzy hivi kupendeza kumbe ni kuweka wigi? kujikoboa? Lakini sisi ndo maana hata kila jambo linatushinda maana hebu fikiri mtu anatumia mkorogo awe kama mzungu? anapaka dawa ili makalio/manyonyo yawe makubwa wakati wachix wenyewe wanaupiga vita unene? Haki elimu!!!!
mkuu ulishawahi kutoa hela kumnunulia vipodozi mpenzi wako?Natanguliza shukurani dada zangu,Hivi kwanini kina dada hujipamba hata kama ni mzuri wa kuzaliwa?I mean wenye nyele nzuri wanzitoa na kuweka mawigi ,weusi wanajipaka madawa kuwa weupe,gharama kibao za saloon,manguo ya bei mbaya kila kitu kina aim kwenye gharama kubwa za kujipamba na kuvutia wanume hata kama mtu kishaolewa lakini bado anataka awakoge na kuwavutia wanaume wengien(hata kama mumewe hapendi) ili hali akijua hawezi kuwapa wakiomba au kuwapata-naomba msaada?
subiri mke wako anuke hadi awe anadondosha chawa ndo ufurahi.
Mwenye mada mwenyewe anaamini huko ndio KUJIREMBA na ndio kunakomfanya mwanamke AVUTIE.Sasa kwanini wanaogaka kuvutia kwa style hiyo wasijitahidi kuvutia?!Acha wafurahishe nafsi zao na za wanaowangalia kila saa.
Hahahhaha niPM wewe lakwako...sasa nimekuelewa lizzy. hivi hiyo ndo picha yako? naomba uniPM jina lako nikuadd kwenye facebook yangu.
we kama ulikutana nae wa hivo basi huyo hajui kujipamba alikurupuka tu ilimradi nae aonekane. Mwanamke lazima ujijue, kuanzia umbo na ngozi yako na hata ukijiremba uvutie na sio kuvamia vamia tu hatimae unakuwa kituko....inahusu!! Mwanamke lazima ujipatie bana, hata kama ni wigi we tupia tu shurti liwe na ushirikiano na kichwa na likufanye upendeze na kuwa comfortable every where. Ng'arisha kucha hiyo ilmradi uwe na uwezo wa kuitunza (sio mkono wa kulia mi mwenyewe sipendi). Too much mkorogo is harmful. Kuwa smart na ujipende we mwenyewe na sio kwa ajili ya kumvutia mtu mwingine. Binafsi sipendelei sana kujipamba lakini nampenda mwanamke anaejua kujipatia, anaeutendea haki mwili wake linapokuja suala zima la kujipamba na usafi kwa ujumla! Hao wanao apply lipstick kama mchuzi wa maharage, waache...wamevamia fani hawana ujuzi!!Wewe dada unaelewa nini maana ya usafi wewe? Usafi si kurundika makemikali mwilini, madudu ya ajabu mwilini, unakuta dada kavaa liwigi anatisha kweli mimacho kama bundi. mara unakuta mwingine kapaka malipu stiki utafikiri mchuzi wa maharage bwana. Wengi hawafahamu tofauti ya usafi na kujipamba. Wanafikiri akijirundikia madude mwilini ndo ataonekana msafi. Mi ndo maana napenda natural woman.