kina dada wa Udom 1st year endeleni kujiheshimu hivyo hivyo.

kina dada wa Udom 1st year endeleni kujiheshimu hivyo hivyo.

kisana moja

Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
52
Reaction score
13
karibu wik mbili sasa toka tuanze kuripot hapa chuon, kwa upande wa kinadada wote wa mwaka wa kwanza hasa college ya eduction,wameonesha heshima na nidham ya hali ya juu hasa ktk mavaz, kwahiyo naomben muendele hvyo
 
unakumbuka lecturer alivyosema pale thetre2??subiri boom uone
 
bado wanausoma mchezo ngoja kidogo tu utajua kama wanaheshima au la
 
we bado wanausoma mchezo, hlf mbona wanagongeka 2, njoo huku mwisho wa ma blok uwaone wanavyogongeka, tena kimya kimya. ucmwambie m2
 
huko udom si kuna code of dressing ,kama wanacomply ni makosa?
mi nadhani ni kama alivyosema huyo lecture wenu subiri mkopo not boom
pesa zinawasha mtu ataanza kwenda mjini ambapo kuna vishawishi na wala hakuna code of dressing, ndipo utawaona. ila wanachuo wanaosoma education wengine wanakuwa wanatoka makazini wananidhamu za kiutumishi kidogo.
Social udom ndio mpanngo mzima kwenye shughuli mbofumbofu
 
Back
Top Bottom