Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Mimi ni Mhasibu. Nakaribia kumaliza mwaka nikiwa na 'surplus'(ziada). Hii ina maana matumizi yangu yamekuwa madogo ukilinganisha na nilivyopanga kutumia. Sehemu kubwa ya ziada imetokana na kina dada kutonichuna sana kama ilivyokuwa mwaka 2009.
Ombi langu ni kwa kina dada wanaojua kutumia kunitafuta ili tutafune pesa kabla ya mwaka huu kuisha. Mie nina pesa mpaka nachukia.

Wakisehema watu wenye majina yanayofanana na la kwako wana tabia za umalaya usibishe na wale usilalamike kuwa kabila lenu halipendwi na linachukiwa
Mimi ni Mhasibu. Nakaribia kumaliza mwaka nikiwa na 'surplus'(ziada). Hii ina maana matumizi yangu yamekuwa madogo ukilinganisha na nilivyopanga kutumia. Sehemu kubwa ya ziada imetokana na kina dada kutonichuna sana kama ilivyokuwa mwaka 2009.
Ombi langu ni kwa kina dada wanaojua kutumia kunitafuta ili tutafune pesa kabla ya mwaka huu kuisha. Mie nina pesa mpaka nachukia.
inshallah allah akuzidishie ya rab,,,,toa sadqa,,, tafuta mke uowe,,,, saidia familia yako na nenda hijja na kuwa mtu mwema ndugu yangu mpenzi si kuanza kuwaza kuzini na kufanya maasi,,kumbuka kumshukuru alie kupa kwanza na kufanya mambo ya ibada ndio utaona manufaa zaidi wallah,,samahani kama nimekuudhi lakini ni ushauri wangu tu kwako
umesema sahihi mamii

Wala hujaniudhi. Dada hayo yote nimefanya lakini pesa haiishi? Na wala sitaki kuzini na mtu yeyote. Mimi ni mtu wa Mungu (kama wewe?)
Mimi ni Mhasibu. Nakaribia kumaliza mwaka nikiwa na 'surplus'(ziada). Hii ina maana matumizi yangu yamekuwa madogo ukilinganisha na nilivyopanga kutumia. Sehemu kubwa ya ziada imetokana na kina dada kutonichuna sana kama ilivyokuwa mwaka 2009.
Ombi langu ni kwa kina dada wanaojua kutumia kunitafuta ili tutafune pesa kabla ya mwaka huu kuisha. Mie nina pesa mpaka nachukia.
Hilo jina lako linasapot hyo thread yako.kila la heri bwana rwayemam, ah samahan rwegasira. oh sore kashaijabutege
hizo zilizozidi kampe mama yako mzazi atakushukuru na kukuombea heriMimi ni Mhasibu. Nakaribia kumaliza mwaka nikiwa na 'surplus'(ziada). Hii ina maana matumizi yangu yamekuwa madogo ukilinganisha na nilivyopanga kutumia. Sehemu kubwa ya ziada imetokana na kina dada kutonichuna sana kama ilivyokuwa mwaka 2009.
Ombi langu ni kwa kina dada wanaojua kutumia kunitafuta ili tutafune pesa kabla ya mwaka huu kuisha. Mie nina pesa mpaka nachukia.
hizo zilizozidi kampe mama yako mzazi atakushukuru na kukuombea heri
hahahahahahah
kichekesho jamani,,,,,,
hihihihihihihi
hohohohohoho
nadhani umekosa lakuongea
kumbuka kuna yatima na wajane, wagonjwa wasioweza kujilipia gharama za matibabu, wanakufa, bora ukawasaidie
ili upate thawabu kw Mungu aliyekupa pumzi ya bure,,,,, take care men