Wanchekesha wewe -- uliofanya thinking out of the box na kufikiria dunia ingekuwaje kama wanawake wasingekuwepo!
tungekuwa tunajigawanya kama minyoo.
kahufikirii ile shunghuli haisumbui una achia usingizini.mngekuwa mnatembea na chelewa ya kufungulia haja ndogo itoke maana grisi ingeziba.
Au mngekuwa na mkono wa kulia mnene kama nguzo ya umeme
isome vizuri!!
Eti Eiyer huwa hunipi credit mambo nanapokuwa fureshi?
mngekuwa mnatembea na chelewa ya kufungulia haja ndogo itoke maana grisi ingeziba.
Au mngekuwa na mkono wa kulia mnene kama nguzo ya umeme
Kaunga! hiyo ni kweli kabisa. Hebu kama unayo Biblia tafuta ishu hizi, halafu uone ukweli wake. Kama hautakubalina nami, rudi na hoja pingamizi. Hoja hizo ni:Men are always victims of women; kila wanachofanya wanakuwa wameponzwa na wanawake.
kama urembo ni sababu kuu ya kueneza ukimwi ni ajabu sana kusikia hivi. ninachoelewa ni tamaa za mtu wa si urembo matamanio ukiyashinda basi ndio mwanzo wakupunguza ukimwi