Kina Dotto Magari na wenzake wanawabeza watu waliosoma bila kujua kodi wanazokatwa ndio zinatumika kuwapa ujira wa uchawa wao

Kina Dotto Magari na wenzake wanawabeza watu waliosoma bila kujua kodi wanazokatwa ndio zinatumika kuwapa ujira wa uchawa wao

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Dotto magari ni mfano wa limbukeni aliochangamka.

Limbukeni anapopata pesa kinachofata ni kufanya mambo akiwa out of control.

Hakuna anaependa kuwa nyuma kimaisha licha ya kusoma kwa maana alitegemea atapata ajira kwa maana kama mpiga kura aliahidiwa ajira, kama mkatwa kodi aliahidiwa ajira.

Jamaa anawasengenya na kubeza watu walio dolo licha ya kusoma bila ya kutambua kuwa baadae mambo ya kitiki ndio hao hao walipaswa kuwa wateja wake ila kwa kuwa ni limbukeni hatambui hilo anawapoteza.

Pesa zilzoibiwa ambazo labda zingetumika katika kuboresha maisha ya unemployed ndio hizo zinatumika kupewa yeye na wenzake ili wafanye uchawa, pesa hizo ndizo vigogo wanatumia kununulia magari ya bei ya juu.



Anyway maisha yaendelee.
 
Back
Top Bottom