Kina kaka mnawazaga nini kabla ya 'kumtokea' mdada

Tanzanite1

Member
Joined
Apr 17, 2010
Posts
23
Reaction score
0
Naomba niwaulize kaka zetu huwa mnafikiria nini au mnajipangaje kwenda 'kumtokea' demu..
kwasababu inafurahisha sana wakati mwingine mtu anakwambia kitu kama 'sista nimekumind naona unalipa sijui unafaa kuwa demu wagu'...:lol: dooh kweli nikicheka nakuwa nimekosea
Kina dada please share experience za kutokewa zilizokufurahisha
 
Mi nawazaga kumega tu.....:becky:
 
A moment on the lips, a lifetime on hips!..du!!kaka zetu siwawezi🙂):smile-big:
 
mtu akianza hivyo tu hustahili hata kuendelea kumckiliza...tongoza gani hiyo icyo na adabu ahta kidogo?
 
yaani ina maana wewe hunaga porojo porojo? ukimtamani bac unampa live kwamba nataka twende.....hhdggg....au?
Mamie hebu soma swali linavyosema.....unajua "kuwaza" ni tofauti na "kusema" ujue.....:confused2:
 
"Mrembo unajisiakiaje kupendwa na mtu kama mie" .. hapa cjui unajibuje :confused2: mtu mwenyewe hata point hazieleweki
 
Kwani nyinyi kina dada huwaga mnawaza nini kabla jamaa hajakutokea?
 
"Mrembo unajisiakiaje kupendwa na mtu kama mie" .. hapa cjui unajibuje :confused2: mtu mwenyewe hata point hazieleweki

FirstLady1; Unamjibu hivi:
"Kaka nafurahi mno kusikia hivyo, ila kwa sababu wewe umenipenda na wakati mimi hata sikuwa kabisa na wazo hilo (wakati ukweli ni kuwa wewe ndiye uliyemchokoza hadi akafikia hatua ya kukutongoza,.... shiiii!!!!....., hii usiwaambie wenzako wanaweza kunishambulia ukweli huwa unauma) naomba unipe mda wa kutosha sasa kuanzia leo, ili nianze kufikiria nione kama na mimi naweza kukupenda wewe kama ulivyonipenda mimi (hapo sasa unampa mda wa yeye kujifaragua ili ujue kama kweli na yeye alikuwa anakupenda kabla ila kashindwa kukusemesha, au ni wewe tu umempenda pasipo yeye kukupenda wewe). Yaani wasichana waache tu kama walivyo. Anachoonyesha kuwa anakihitaji leo, anaweza kuwa amepanga kuwa nacho baada ya miezi sita mbele, au hata akajikuta amepokonywa na wenzake on the way anajifaragua!
 
Hii mada ni kwa watu ambao hawajaoa na lugha iliyotumika duh
 
"Mrembo unajisiakiaje kupendwa na mtu kama mie" .. hapa cjui unajibuje :confused2: mtu mwenyewe hata point hazieleweki

Swala la kumtokea mtu ni gumu sana, kupanga sentensi mpaka zieleweke! namshukuru Mungu hiyo kazi sinayo, maana sipati picha ingekuwaje. nakumbuka shule tulikuwa tunasimuliana; enhe, alianzaje? halafu?.............. yaani raha tupu!
 
Mi nawazaga kumega tu.....:becky:

.....nipo na wewe Kimey.....! kinachowazwa kabla ya kumwibukia demu ni kumega.....inafuata sasa unampataje ili ummege?.....ndo utasikia....(baada ya vi-offer na vi-outing kadhaa)...sister na kumind sana....sasa inakuwaje....? n bla bla bla......!
 
Waelezee hao Kiongozi....
 
Kani apo utakua umewaza au umesema?
 
wazo la kwanza kumega kama yuko fit naendelea naye ila kama shallow au amejaa water nampotezea taratibuuu
 
siku hizi hakuna hiyo mambo ya ohhh nimekufia.....unamualika ki-date...mara ya pili unamkaribisha getho/room.........ya tatu action....hakuna maneno mengi!
 
siku hizi hakuna hiyo mambo ya ohhh nimekufia.....unamualika ki-date...mara ya pili unamkaribisha getho/room.........ya tatu action....hakuna maneno mengi!

Gheto ukimkaribisha tayari atajua mwenyewe what next...
 
Mawasiliano yoyote nitakayokupa ndicho ninachowaza, na mara nyingi nakuwa naitikia hisia zako, hivyo kila niwezalo uwaze ninachokiwaza.....! Ila kwa uzoefu wangu, kujiandaa na kupanga maneno ni kosa kubwa sana, lazima utagonga mwamba. Cha msingi ni kuiachia nature ichukue nafasi yake...!
 
Maneno mengi ni urembo tuu, hawa jamaa wa kwenye chupi wakikutana wala hawahitaji maneno! teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…