siku hizi hakuna hiyo mambo ya ohhh nimekufia.....unamualika ki-date...mara ya pili unamkaribisha getho/room.........ya tatu action....hakuna maneno mengi!
Naomba niwaulize kaka zetu huwa mnafikiria nini au mnajipangaje kwenda 'kumtokea' demu..
kwasababu inafurahisha sana wakati mwingine mtu anakwambia kitu kama 'sista nimekumind naona unalipa sijui unafaa kuwa demu wagu'...:lol: dooh kweli nikicheka nakuwa nimekosea
Kina dada please share experience za kutokewa zilizokufurahisha
duh! mens bana, sasa hao wenye water waende wapi jamani?wazo la kwanza kumega kama yuko fit naendelea naye ila kama shallow au amejaa water nampotezea taratibuuu
Lady N, water+Kibamia=?duh! mens bana, sasa hao wenye water waende wapi jamani?