Kina Kapumbu watinga Makundi CAF

Kina Kapumbu watinga Makundi CAF

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Screenshot_20211206-120233_Chrome.jpg


Zanaco wametinga makundi CAF timu zingine ni kama inavyoonekana hapo juu. Ukiongeza Orando Pirates na Berkane.

Mengi zaidi kuhusu Kapumbu waulizwe Yanga Utopolo.
 
SUBIRIENI KIPIGO CHENU TAR 11 MTAFUTE PAKUJIFICHA KABISA..
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji16]
 
Subiri Kipigo Chako Wewe Tarehe 11 Nimeweka Ahadi Ya Kuuwawa Mkitufunga.
timu kama levante ambayo haichezi kimataifa huwa inafurahi sana kukutana na kuwakazia timu kama Real Madrid ,kwahiyo ni vizuri kufurahia kucheza na timu inayocheza mashindano ya kimataifa,tunajali hisia zenu za furaha kucheza na timu iliyokuzidi
 
Subiri Kipigo Chako Wewe Tarehe 11 Nimeweka Ahadi Ya Kuuwawa Mkitufunga.
Weka picha yako.location na mengineyo tuanze kukuandalia mijeledi, mapanga, sumu, kamba, moto nk.yaani.ujichagulie kifo kipi maana simba haiachi mti tarehe 11. Utajuta maneno.yako ya kisoro hayo ooohhhooo
 
Back
Top Bottom