Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,155
- 1,209
Aisee hili jambo limenishangaza sana. Juzi Boni yai aliandika Tweeter kuwa alipoingia VIP room kutoa matokeo ya kura za nafasi ya mwenyekiti, eti baadhi ya watu waliokuwa na Mbowe VIP room, baada ya kusikia Mbowe kapigwa chini, walilia kilio cha kusaga meno.
Mbowe ameongoza Kwa miaka 21, kitu Gani kiliwafanya watu hao wabubujikwe na machozi na ni akina nani?
Mbowe ameongoza Kwa miaka 21, kitu Gani kiliwafanya watu hao wabubujikwe na machozi na ni akina nani?