Kinacho endelea ajira za bomba la mafuta

Kinacho endelea ajira za bomba la mafuta

clinton gidioni

Senior Member
Joined
Oct 24, 2016
Posts
145
Reaction score
165
Wakuu poleni na majukum.

Jamani kama unafahamu kinachoendelea katika site za bomba la mafuta je, kama wamesha anza kuchukua watu japo hata vibarua au kama kuna ujenzi wowote unao endelea.

Naomba kama unafaham changia chochote
 
Hatujui kinachoendeleaa kwa walio wengi ila tu kuna jamaa zangu wapo kule ninmadereva

Ghalf bin fuu utakuta Bomba liko chongolieni

Note
Kuna jamaa angu yeye alipata ile hatua za Kwanza za valuation katk maeneo ya Tanga huko chongoleani ili kulipa fidia kwa watakao pitiwa na Bomba
Asie jamaa kapiga mkwanja mbaya katoka pale na 50 milion hv
 
I

Wanasema wanategesha . Unaweza tegesha miti na nyumba mladi ukipita unapita na pesa zao
 
Wakuu poleni na majukum.
Jamani kama unafahani kinacho endelea katika site za bomba la mafuta je kama wamesha anza kuchukua watu japo hata vibarua au kama kuna ujenzi wowowe unao endelea.
Naomba kama unafaham changia chochote
Tuambie elimu yako na ujuzi wako ili tushughulikie suala lako haraka sana.
 
Huo wimbo hautaisha, ila wewe nenda TPDC watakupa taarifa zote unazotaka
 
Wakuu poleni na majukum.
Jamani kama unafahani kinacho endelea katika site za bomba la mafuta je kama wamesha anza kuchukua watu japo hata vibarua au kama kuna ujenzi wowowe unao endelea.
Naomba kama unafaham changia chochote
hadi huku vijijini shughuli zote muhimu zinachukuliwa na makampuni kutoka mijini hasa Dar,Arusha,Kilimanjaro na Tanga ni shida
 
Hii namba nimeikuta kwenye tangazo fulani lililokuwa linawataka watu kutuma maombi kuhusu bomba la mafuta.. niliichukua lakini sijawahi kumpigia 0719 439 633
 
Back
Top Bottom