clinton gidioni
Senior Member
- Oct 24, 2016
- 145
- 165
huu wimbo wa connection utaisha lini jamani
Acha tu mkuu ni bonge la changamotohuu wimbo wa connection utaisha lini jamani
Wanasema wanategesha . Unaweza tegesha miti na nyumba mladi ukipita unapita na pesa zaoHatujui kinachoendeleaa kwa walio wengi ila tu kuna jamaa zangu wapo kule ninmadereva
Ghalf bin fuu utakuta Bomba liko chongolieni
Note
Kuna jamaa angu yeye alipata ile hatua za Kwanza za valuation katk maeneo ya Tanga huko chongoleani ili kulipa fidia kwa watakao pitiwa na Bomba
Asie jamaa kapiga mkwanja mbaya katoka pale na 50 milion hv
Tuambie elimu yako na ujuzi wako ili tushughulikie suala lako haraka sana.Wakuu poleni na majukum.
Jamani kama unafahani kinacho endelea katika site za bomba la mafuta je kama wamesha anza kuchukua watu japo hata vibarua au kama kuna ujenzi wowowe unao endelea.
Naomba kama unafaham changia chochote
Nisaidie apa mkuu .Tuambie elimu yako na ujuzi wako ili tushughulikie suala lako haraka sana.
Elimu kidato cha nneTuambie elimu yako na ujuzi wako ili tushughulikie suala lako haraka sana.
Licha ya kuwa operator ila nipo tayari kufanya kazi yoyote mkuu nisaidieTuambie elimu yako na ujuzi wako ili tushughulikie suala lako haraka sana.
hadi huku vijijini shughuli zote muhimu zinachukuliwa na makampuni kutoka mijini hasa Dar,Arusha,Kilimanjaro na Tanga ni shidaWakuu poleni na majukum.
Jamani kama unafahani kinacho endelea katika site za bomba la mafuta je kama wamesha anza kuchukua watu japo hata vibarua au kama kuna ujenzi wowowe unao endelea.
Naomba kama unafaham changia chochote