MKUYENGE
JF-Expert Member
- Jun 26, 2019
- 4,107
- 4,612
Katika pitapita zangu mtaani na kwenye mitandao ya kijamii na kukutana na wale mashabiki kindaki ndaki wa WCB kuwauliza vipi kuhusu HARMONIZE kutoka WCB mnaumia na nini nyie chama kubwa nikawauliza kiutu uzima lakini jibu walilotoa jamaa kimya kimya wanasema kinatochotumiiza Harmonize kutukimbia ni kuwa JAMAA ANAWEZA KUIMBA KAMA DIAMOND ILA DIAMOND HAWEZI KUIMBA KAMA HARMONIZE.
Vipi maoni yako wewe kama mdau wa music hapa bongo usiogope njoo utoe maoni yako hapa.
Vipi maoni yako wewe kama mdau wa music hapa bongo usiogope njoo utoe maoni yako hapa.