Kinacho waumiza kichwa WCB

MKUYENGE

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2019
Posts
4,107
Reaction score
4,612
Katika pitapita zangu mtaani na kwenye mitandao ya kijamii na kukutana na wale mashabiki kindaki ndaki wa WCB kuwauliza vipi kuhusu HARMONIZE kutoka WCB mnaumia na nini nyie chama kubwa nikawauliza kiutu uzima lakini jibu walilotoa jamaa kimya kimya wanasema kinatochotumiiza Harmonize kutukimbia ni kuwa JAMAA ANAWEZA KUIMBA KAMA DIAMOND ILA DIAMOND HAWEZI KUIMBA KAMA HARMONIZE.

Vipi maoni yako wewe kama mdau wa music hapa bongo usiogope njoo utoe maoni yako hapa.
 
Diamond yupo tangu 2009 ..hana haja ya kuimbak kama konde boy..

Ni sawa na messi aige uchezaji wa ngasa.... siku zote harmonize atafaninishwa na diamond na sio viseversa
 
Baada ya kujitoa WCB katoa nyimbo mbili hadi leo hajafikisha views mil 1 kila wimbo,soon ataanza kushindana na kina rostam na ney wa mitego kwa show za bongo
 
Ni sawa na kumlazimisha bakressa (mond) awe mmashinga (kondeboy)
 
Baada ya kujitoa WCB katoa nyimbo mbili hadi leo hajafikisha views mil 1 kila wimbo,soon ataanza kushindana na kina rostam na ney wa mitego kwa show za bongo
tulia sasa ngoma na WizKid inakuja
 
Baada ya kujitoa WCB katoa nyimbo mbili hadi leo hajafikisha views mil 1 kila wimbo,soon ataanza kushindana na kina rostam na ney wa mitego kwa show za bongo
Heri elf 50 ya kwako kuliko laki 5 ya wengi
 
mkuu umeamkia jambogin asubuh asubuh au?
 
tulia sasa ngoma na WizKid inakuja
Yaani huyo hata akifanya kazi na Trey song ngoma yake still haitafanya vizuri cos mashabiki wa wasafi waliokuwa wanambeba sasa hiv wamemuacha yaani atakuwa Kama Rama dee unafanya kazi huku wadau wamekukaushia Kama hawakujui vile
 
Yaani huyo hata alifanya kazi na Trey song ngoma yake still haitafanya vizuri cos mashabiki wa wasafi waliokuwa wanambeba sasa hiv wamemuacha yaani atakuwa Kama Rama dee unafanya kazi huku wadau wamekukaushia Kama hawakujui vile
lamli chonganishi subiria uone kondeboy alivyojipanga hanaga nyimbo za ajabu kama chuchumaa,tetema,nyege na anatusua kama kawaida kama dawa
 
Diamond yupo tangu 2009 ..hana haja ya kuimbak kama konde boy..

Ni sawa na messi aige uchezaji wa ngasa.... siku zote harmonize atafaninishwa na diamond na sio viseversa
logical fallacy messi na ngasa umri sawa hao hakuna mdogo kwa mwenzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…