Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,615
- 1,901
Unaelewa maana ya CHAN??Nimejaribu kuwaza na kuwazua bado nimeshindwa kupata majibu kabisa,
Tuseme ndio mcheza kwao,
Au ni vile timu walizonazo vigogo ni wachezaji ambao hawawatumii mara kwa mara katika mashindano au ni soka la ukanda wetu linakuwa au nini hasa?
Maana imekuwa ni maajabu
Tanzania aongoze kundi lenye
Burknafaso na Mauritania
Kenya aongoze kundi lenye
Morocco, Dr Congo, Angola na Zambia
Uganda aongoze kundi lenye
Algeria, SA na Guinea
Sudani anaongoza kundi lenye
Senegal na Nigeria.
Hii haijawahi kutokea na haitakaa ijirudie katika dunia hii.
Unataka kusema nini?Unaelewa maana ya CHAN??
Kila mchezaji mzuri wa nchi hizo amekimbia, anatafuta maslahi nje ya nchi.Unataka kusema nini?
Taifa kama Morocco na Algeria hata kama uchezeshewe na wachezaji wa under 20 watakusumbua. Sio tu wachezaji wa ndani.Unaelewa maana ya CHAN??
Hapana ile michuano ni ya 2024 huku 2025 imekuja tu kwa bahati mbayaNi 2025
Wewe mbona kama unatudanganyaKila mchezaji mzuri wa nchi hizo amekimbia, anatafuta maslahi nje ya nchi.
Ligi za huko zimekufa
Kwani hii ni CHAN ya kwanza. Mbona hamjawahi kuongoza makundi.,?Unaelewa maana ya CHAN??
Silaumu mashindano, bali nipo kwenye mshangao wa yanayojili uwanjani. Naona ni kama misimamo ipo chini juu juu chini.Tuambie Maoni Yako Wewe Ulitaka Nani Aongoze Ndio Uone MASHINDANO YA CHAN....CAF wako Sahihi...?
Sawa Hulaumu Mashindano...Tunaomba Maoni Yako Tena...Wewe Ulihitaji Msimamo Uweje??Ili Usiwe Na Mshangao kwa Yanayojiri Viwanjani..?Silaumu mashindano, bali nipo kwenye mshangao wa yanayojili uwanjani. Naona ni kama misimamo ipo chini juu juu chini.
Tumepangwa na VIBONDEKwani hii ni CHAN ya kwanza. Mbona hamjawahi kuongoza makundi.,?
Nimejaribu kuwaza na kuwazua bado nimeshindwa kupata majibu kabisa,
Tuseme ndio mcheza kwao,
Au ni vile timu walizonazo vigogo ni wachezaji ambao hawawatumii mara kwa mara katika mashindano au ni soka la ukanda wetu linakuwa au nini hasa?
Maana imekuwa ni maajabu
Tanzania aongoze kundi lenye
Burknafaso na Mauritania
Kenya aongoze kundi lenye
Morocco, Dr Congo, Angola na Zambia
Uganda aongoze kundi lenye
Algeria, SA na Guinea
Sudani anaongoza kundi lenye
Senegal na Nigeria.
Hii haijawahi kutokea na haitakaa ijirudie katika dunia hii.
Weupe wakati huwa wanapata matokeo mpaka ugeniniMkuu hizo timu za Waarabu mara nyingi ushindi wao huwa unategemea jitihada za nje ya uwanja, yaani kwa kifupi uwanjani ni weupe kabisa.
Pia ubora wa timu zao hujengwa na wachezaji kutoka wachezaji wanaowanunua kutoka nje.
Kwasasa toka yafanyike mapinduzi ya soka na uwazi kuongezeka tutarajie kuporomoka kwa kiwango kikubwa kwa mataifa hayo
Soma kwa utulivu utaelewa. Kumbuka katika fainali kombe la shirikisho kati ya Yanga na USM ALger bila fitna za ball boys na kuwasha fataki hadi mchezo kushindwa kuendelea waarabu walikuwa wanakalishwa mapema tu.Weupe wakati huwa wanapata matokeo mpaka ugenini
Naweza kuamini hili. Ila sasa mbona hii si CHAN ya kwanza. Kwanini tusiyaone hayo kwenye chan zilizopitaLigi zetu ziko juu kuliko hao giants, hiv kweli Nigeria anakufa chuma 4 kwa Sudan loh!
Hao giants wanategemea mostly mamluki wao wanaocheza nje ya inchi zao