Kinachoendelea Iringa Samora, Diamond hii ni kufuru!

Ulongage fyenye ukweliii Veyaaaa utanage huva mudesiiiii! Ulimulinsi gani wihwa ni simu sihu yondaa....angi pasangapi wigita kasi!!!! Tanagage hudetaaaa.....tilongage ukweliiiii Vanu volofu sweeeee...
Ha ha ha sala isi kinung'iteeeeee ino vamemile uwiiiii maisha na muziki
 
Diamond balaa aisee. Nimeona yule jamaa amefanya shoo sebuleni. Kibakuli bado sana.
 
The bold hiyo avatar mmmh nishaanza kunusa harufu harufu ndo ushajimilikisha yule nini[emoji2] [emoji119]
 
Wasafi team nzima vs jeshi la mtu mmoja king kiba na bado mnapumulia mipira
 
Diamond!! Strategies za wasafi ni noma kwa kupiga hela..Team mziki mzuri wanajua sana kuimba lakini hawana mbinu....
 
Ni app yangu inazingua au nimepotea sana humu Jf ? Hii avatar inanikumbusha ni ya dada mmoja anaitwa Nifah

Teh au mkuu umebeba jumla jumla ?
 
Mkimaliza izo koment mnijuze sh.ngap mmeingiza na mm nichague team langu nipate mihela
 
umesema hamna hata sehemu ya kukanyaga,,mbona ukiangaalia kwa mbali jukwaa yanaonekana mkuu,,kwan na ww upo uwanjani..hvi team nazo ni sheeeda

duh

Ungesoma kwenye picha ungeona kuwa ni sound ......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…