Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
Ni app yangu inazingua au nimepotea sana humu Jf ? Hii avatar inanikumbusha ni ya dada mmoja anaitwa Nifah
Teh au mkuu umebeba jumla jumla ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tatizo kaka wewe nae umepotea sana,ni juzi tu tulikuwa tunakukumbuka na Heaven Sent
Kupotea huku ipo siku utakuja kukutana na wajomba zako uwaulize baba yao ni nani[emoji6]
[emoji38][emoji38][emoji38] sawa mkuu ,mtunze dada yangu huyoMkuu sitaki mchezo mchezo mimi, nimechuka jumla jumla [emoji4]
Bila shaka Mkuu.. [emoji120][emoji38][emoji38][emoji38] sawa mkuu ,mtunze dada yangu huyo
Team malalamiko hamkosagi kisingizio [emoji23] [emoji23]Kiingilio buku hata Manfongo angejaza watu
Miami yako itakuokoaKanyaganeni mfe huko,mtolewe kafara,shabikieni upuuzi tu
Umeongea factKama upande wa pili hautajitambua na kujua muzik ni zaid ya kuvaa pete za kijan bas hizi team zitaendelea kumnufaisha chibu peke ake
Eeh na me nimetoka kumwambia hivyo hivyo. Vipi kaholiday lakini?[emoji23] [emoji23] [emoji23] tatizo kaka wewe nae umepotea sana,ni juzi tu tulikuwa tunakukumbuka na Heaven Sent
Kupotea huku ipo siku utakuja kukutana na wajomba zako uwaulize baba yao ni nani [emoji6]
Nimeona mpendwa.Eeh na me nimetoka kumwambia hivyo hivyo. Vipi kaholiday lakini?
Hahaha twin acha tu bana. Tunamshukuru Mungu siku tumeiona tukiwa wazima wa afya. Nikichinja mbuzi ntakuletea mguu mmoja lolNimeona mpendwa.
Holiday ni motroooooo [emoji39] sijui kwako dearest.
Ukauchuna hata salam za sikukuu?
Maana mbuzi umeamua kumla mwenyewe basi salam jamani![emoji12]
Amen [emoji120]Hahaha twin acha tu bana. Tunamshukuru Mungu siku tumeiona tukiwa wazima wa afya. Nikichinja mbuzi ntakuletea mguu mmoja lol
acha zako we jamaaWanapumuliwa tu.
Na wasiwasi na mashaka makubwa juu ya imani yakoKanyaganeni mfe huko,mtolewe kafara,shabikieni upuuzi tu
Kiba hana mashabiki kiivyo..ni haters wa diamond tu hao..nao wamehamia kwa darasakwa utafiti usio rasmi..takwimu zinaonesha
Team Kiba wengi ni Wanawake..
Lakini
Team Diamond wengi ni Wanaume
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli tenaSerikali iingilie kati huyu jamaa azuiliwe maana anaweza kuleta maafa kama ya MV. Bukoba
ha ha haa,fukara una mbwembwe.Ndio maana mwenyez mungu kakunyima kila kitu isipokuwa umaskini wa Mali na akili