Hii ☝️ point sikubaliani nayo kwa sababu haina ukweli.wanasahau kwamba bila ya hizo nchi Leo Afrika Kusini kungekuwa na historia nyingine....zaidi ya hichi wanachokifanya.
Kwa nini haukubaliani nayo mkuu?Hii ☝️ point sikubaliani nayo kwa sababu haina ukweli.
Mleta mada anataka kutuaminisha kuwa bila hizo nchi alizotaja majority rule isingepatikana nchi Afrika kusini kitu ambacho si kweli.Kwa nini haukubaliani nayo mkuu?
Mambo ya nchi kusema tuliwasaidia kupata uhuru yamepitwa na wakati hakuna nchi inayotawaliwa na wakoloni moja Kwa moja mpaka sasa uhuru ungepatikana tu ,mtu asiseme kama sio juhudi za Fulani uhuru tusingeupata Hakuna jambo la hovyo kama hili ,point yangu ni hakuna nchi Afrika inatawaliwa na wakoloni moja Kwa moja mpaka sasa tusitukuze watu bila sababu.Kwa nini haukubaliani nayo mkuu?
😆😆😆😆😆😆😆Mleta mada anataka kutuaminisha kuwa bila hizo nchi alizotaja majority rule isingepatikana nchi Afrika kusini kitu ambacho si kweli.
Sidhani kama wangefika hadi leo wakiwa chini ya kibano kikali Cha makaburu.😆😆😆😆😆😆😆
1-SA ilikaliwa na makaburu katika ujazo "mzuri" ambapo walishindwa hata kufurukuta.Kwa ufupi SA walibanwa mnoo na kushindwa kuendesha mapambano ya Uhuru wao ndani kwa ndani.Hata kama baadhi/wachache walijumuika kwenye mapambano,hayakuleta tija kubwa kwa kiasi hitajika.
2-Wengi wa wapigania Uhuru wa SA ilibidi watoke nje ya nchi yao ili kupata mafunzo ya "ideologies" na mapambano ya kimsituni/mapigano kijeshi zaidi.
-Waliomba kwa nchi jirani msaada wa kupambana physically na wakoloni na walisaidiwa sana.
HOJA NI NINI?
-Ilikuwa kuongezewa elimu/ideas za mapambano kwa hamasa,
-kuongezewa ujuzi na silaha za mapigano,
-kuongezewa idadi ya wapambanaji/askari dhidi ya wakoloni.
-Kuandaa wasomi wa kuja kuendesha nchi.
Hivyo basi,ukiangalia nchi nyingi za Afrika zilizokuwa kwenye harakati za ukombozi zilifanikiwa miaka ya mwishoni mwa '50,60,70 nk.Lakini SA ilichelewa hata baada ya kusaidiwa.Tujiulize;Je,isingepata msaada wa nchi zingine za Afrika wangeweza hata kufanya uchaguzi huru na kuwa huru mwaka 1992?Msaada wa majirani uliwakomboa kwa haraka.Laa sivyo,wangekuwa wanajiliza na kuifuta kamasi vitongoji vya SOWETO hadi leo bila uhuru wala kupumzika.
Bado wanapaswa kuwa na kashukurani hata kadogo kwa Waafrika wenzao waliokuwa nao sambamba kwenye kilio chao.Ni kweli wasingetawaliwa milele(ingawa bado indirect wanatawaliwa na wazungu)lakini wangechelewa sana.Boers walijua kuwabana,,kuwatesa na kutowapa pumzi.Kule ndiko kungeitwa kupelekewa moto kwa zama hizi.Sidhani kama wangefika hadi leo wakiwa chini ya kibano kikali Cha makaburu.
Shida yao wanapigana na adui asiye halisi. Inabidi wapigane na serikali yao na si wageni.Bado wanapaswa kuwa na kashukurani hata kadogo kwa Waafrika wenzao waliokuwa nao sambamba kwenye kilio chao.Ni kweli wasingetawaliwa milele(ingawa bado indirect wanatawaliwa na wazungu)lakini wangechelewa sana.Boers walijua kuwabana,,kuwatesa na kutowapa pumzi.Kule ndiko kungeitwa kupelekewa moto kwa zama hizi.
Bado wanapaswa kuwa na kashukurani hata kadogo kwa Waafrika wenzao waliokuwa nao sambamba kwenye kilio chao.Ni kweli wasingetawaliwa milele(ingawa bado indirect wanatawaliwa na wazungu)lakini wangechelewa sana.Boers walijua kuwa ana,kuwatesa na kutowapa pumzi.Kule ndiko kungeitwa kupelekewa moto kwa zama hiziSidhani kama wangefika hadi leo wakiwa chini ya kibano kikali Cha makaburu.
Hao watu ni bure kabisa.Mwingine,juzi-kati kampiga risasi mama (asiye msouth)muuza chakula barabarani kwa kudaiwa hela ya alichokula.Kwa nini asingeenda sehemu ambazo serikali yake inatoa huduma ndipo akaanzishe sakalambanda/fujo zake?Mgeni anahusikaje na ukosefu wa huduma za nchi?Au wageni ni wabia wa serikali ya South Africa?Shida yao wanapigana na adui asiye halisi. Inabidi wapigane na serikali yao na si wageni.
Wanavyowafukuza wageni serikali yao ndo inafurahi kwa sababu serikali ndo chanzo cha matatizo yao.
Africa kusini ni nchi ya kijinga. Hata mabaria wanaozamiaga sehemu za huko kama vile Durban, Kwa zulu Natal sijui wanavutiwaga na nini huko, wakati kuna nchi nyingine za Africa hapahapa zenye utulivu na good living standardNi masikitiko makubwa sana Kwa kuona zile harakati zinazofanywa na wazawa wa nchi ya Afrika Kusini dhidi ya ndugu zao Waafrika wanaotoka katika nchi mbali mbali hasa zile nchi kama Ghana, Nigeria, Ethiopian, Zimbabwe, Tanzania....wanasahau kwamba bila ya hizo nchi Leo Afrika Kusini kungekuwa na historia nyingine....zaidi ya hichi wanchini kwao, hii itachochea ukuwaji wa huchumi na kuwa fanya Waafrika Kusini kujifunza kutoka kwao wahamiaji halali ndani ya Taifa lao....km sasahivi apartment nyingi zilizopo ktk miji mikubwa ni ya Wageni na Wala siyo ya Waafrika Kusini, pili hata maduka makubwa na mage rage siyo ya wazawa ni ya Wageni kwaiyo Kuna vitu vya kujifunza Kwa Waafrika Kusini
Huwa wanadanganyana(kupeana taarifa za uongo)na huwa wanawafuata masela wenzao wakaendeleze maisha ya hovyohovyo na ugangwe mdebwedo.Na wazulu siyo watu wale.Wanawapiga risasi wajinga kama hao kila leo.Africa kusini ni nchi ya kijinga. Hata mabaria wanaozamiaga sehemu za huko kama vile Durban, Kwa zulu Natal sijui wanavutiwaga na nini huko, wakati kuna nchi nyingine za Africa hapahapa zenye utulivu na good living standard
Ni kweli Kwa sababu viongozi wa nchi zilizopata uhuru walifanya jitihada kubwa kuhakikisha ubaguzi wa rangi unakoma.Bado wanapaswa kuwa na kashukurani hata kadogo kwa Waafrika wenzao waliokuwa nao sambamba kwenye kilio chao.Ni kweli wasingetawaliwa milele(ingawa bado indirect wanatawaliwa na wazungu)lakini wangechelewa sana.Boers walijua kuwa ana,kuwatesa na kutowapa pumzi.Kule ndiko kungeitwa kupelekewa moto kwa zama hizi
Unaweza ukakuta hii ndiyo mbinu inayotumiwa na serikali yao (kutengenezaa adui bandia) ili watu wasitambue kuwa chanzo halisi cha ugumu wao wa maisha ni serikali. Si unajua serikali za kiafrika zilivyo!Hao watu ni bure kabisa.Mwingine,juzi kampiga risasi mama (asiye mouth)muuza chakula barabarani kwa kudaiwa hela ya alichokula.Kwa nini asingeenda sehemu ambazo serikali yake inatoa huduma ndipo akaanzishe sakalambanda/fujo zake?Mgeni anahusikaje na ukosefu wa huduma za nchi?Au wageni ni wabia wa serikali ya South Africa?
Inawezekana lakini wasouth ni wakorofi na wana roho mbaya sana.Ni kweli Kwa sababu viongozi wa nchi zilizopata uhuru walifanya jitihada kubwa kuhakikisha ubaguzi wa rangi unakoma.
Unaweza ukakuta hii ndiyo mbinu inayotumiwa na serikali yao (kutengenezaa adui bandia) ili watu wasitambue kuwa chanzo halisi cha ugumu wao wa maisha ni serikali. Si unajua serikali za kiafrika zilivyo!