I feel good
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 1,773
- 3,215
Wawapige tu kwa sababu wanawapelekea matatizo na overpopulation isiyokuwa na sabbu.Huwa wanadanganyana(kupeana taarifa za uongo)na huwa wanawafuata masela wenzao wakaendeleze maisha ya hovyohovyo na ugangwe mdebwedo.Na wazulu siyo watu wale.Wanawapiga risasi wajinga kama hao kila leo.
Roho mbaya yao imesababishwa na nini, maana Kila kitu kina chanzo chake.Inawezekana lakini wasouth ni wakorofi na wana roho mbaya sana.
Dinner ni biskuti kwa chilisosi.Wawapige tu kwa sababu wanawapelekea matatizo na overpopulation isiyokuwa na sabbu.
Watz huko huwa wanaishi maisha magumu, maisha ya kushindia mkate siku tatu mfululizo n.k
Ubinafsi,kutopenda wageni bila sababu maalumu na uchoyo/tabia za watoto wasio na malezi mazuri kwa wengine.Wana malezi kama ya mtoto "Junior" kumchoma mgeni na bisibisi jichoni huku mzazi anachekelea tu.Fuatilia kama kuna hatua stahiki zinazochukuliwa na serikali yao ya SA.Hamna kitu.Roho mbaya yao imesababishwa na nini, maana Kila kitu kina chanzo chake.
Au wanaona wageni wana-shine huku wao wakiteseka?Ubinafsi,kutopenda wageni bila sababu maalumu na uchoyo/tabia za watoto wasio na malezi mazuri kwa wengine.
Hahah.. Sure,.. Huku tunachukulia kuwa mshikaji katoboa.. Kumbe ana maisha magumu kuliko hata sisi hapa.Dinner ni biskuti kwa chilisosi.
Hilo nalo limo.Wenyewe ni wavivu watatoboaje?Au wanaona wageni wana-shine huku wao wakiteseka?
Duh, ngoja tuone watalimaliza vipi hili suala.Hilo nalo limo.Wenyewe ni wavivu watatoboaje?
Bila ujuzi au kupata ajira wazamiaji wanaendea haki ile mbaya.Mwishowe ndiyo huingia kwenye uhalifu,ulevi,kujirahisisha kwa wenyeji na mahovyohovyo mengi.Hahah.. Sure,.. Huku tunachukulia kuwa mshikaji katoboa.. Kumbe ana maisha magumu kuliko hata sisi hapa.
In short, kuzamia huko ni kusacrifice maisha kwa kiwango kikubwa sana. Ni sawa na kuchezea maisha yako kamari.
Kule siri ni moja ukizamia, uwe na ujuzi au fani fulani. Lakini ukizamia tu kwa maana ya kwenda kutafuta maisha, huna hata fani, hata wa nyumbani wa kule wanakutosa.Bila ujuzi au kupata ajira wazamiaji wanaendea haki ile mbaya.Mwishowe ndiyo huingia kwenye uhalifu,ulevi,kujirahisisha kwa wenyeji na mahovyohovyo mengi.
Watu wenye mawazo ya kwenda nchi zingine wapewe ABCs.Wataenda kutia aibu au kupoteza uhai huko.Wasisitizwe wabaki hapa ili tusomewe ripoti ya Chande kwa utulivu.Nilikua nakerwa na ukorofo wa south Africa kwa wageni mpaka mama mmoja alipo simama mbele ya media na kusema, mwanae alikua mtoto mwema lakini Sasa anavuta unga na walio mbadili ni wageni wanao endesha magenge haramu kwa kweli niliishiwa pawa wako sawa ni nchi Yao kwanini na nyie msijenge kwenu? Wamesema nendeni mkawaambie viongozi wenu wajenge sio kuja kujibana kwetu wako sawa
Wako sahihiNilikua nakerwa na ukorofo wa south Africa kwa wageni mpaka mama mmoja alipo simama mbele ya media na kusema, mwanae alikua mtoto mwema lakini Sasa anavuta unga na walio mbadili ni wageni wanao endesha magenge haramu kwa kweli niliishiwa pawa wako sawa ni nchi Yao kwanini na nyie msijenge kwenu? Wamesema nendeni mkawaambie viongozi wenu wajenge sio kuja kujibana kwetu wako sawa
Kabisa.Usishangae kijana wa kiume anarudi na kututambulisha kwa mumewe au akaolewa hukohuko huku kavaa "suruali" yake.Kule siri ni moja ukizamia, uwe na ujuzi au fani fulani. Lakini ukizamia tu kwa maana ya kwenda kutafuta maisha, huna hata fani, hata wa nyumbani wa kule wanakutosa.
KabisaWatu wenye mawazo ya kwenda nchi zingine wapewe ABCs.Wataenda kutia aibu au kupoteza uhai huko.Wasisitizwe wabaki hapa ili tusomewe ripoti ya Chande kwa utulivu.
Na adhabu ni kifo bila kusikilizwa, siyo?Sometime tuache utani na kutetea ujinga
Iv inakuingia akilini mgeni unaingia nchi ya watu afu unaanza fanya biashara ya kuuza mayai, kufungua kioski, kufungua bucha ya nyama, saloon, fundi simu sasa kama mgeni unafanya izo biashara huyo mwenyeji atafanya biashara gan
Tunasahau ata apa kwetu Tz juz juz tu apa serikal imekataza wageni kufanya biashara ndogo ndogo ambazo mzawa anapaswa kufanya
Inawezekana kbsa njia walotumia wa SA ya kupambana na wageni ni mbaya ila kwa upande mwingne wako sawa
Mgeni njoo ufungue biashara kubwa ( muwekezaji) mgeni njoo ufanye kaz za kitaalam(specialist) (expart) sasa mgeni unakuja kufanya biashara ya umachinga, mgeni unakuja kufanya kaz ya security ulinzi
Kwa upande wangu SA wako sawa wamechoka wamevumilia sasa wamesema bas