mjasiliaupeo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 2,162
- 3,088
Moderator naomba uedit heading, isomeke kumtosa. Asante.
Binafsi ni mfuatiliaji mkubwa sana wa soka la africa. Ila nilikuwa nyuma kuhusu atmosphere ya Zambia kwenye masuala ya soka. Juzi katika kufuatilia nikagundua, huyu triple c ni mchezaji anayependwa sana na mashabiki mchini zambia.