Kinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii Zambia baada ya kocha kumtuma chama "triple c" kwenye kikosi cha taifa

mjasiliaupeo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2013
Posts
2,162
Reaction score
3,088
Moderator naomba uedit heading, isomeke kumtosa. Asante.


Binafsi ni mfuatiliaji mkubwa sana wa soka la africa. Ila nilikuwa nyuma kuhusu atmosphere ya Zambia kwenye masuala ya soka. Juzi katika kufuatilia nikagundua, huyu triple c ni mchezaji anayependwa sana na mashabiki mchini zambia.



 
Mpelekeni Manara akacheze Zm.
 
Chama kacheza Zesco iliyofika nusu fainali CAF Champions sasa kipi cha ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…