GE2025 Kinachoendelea Mahakamani kwenye Kesi ya Tundu Lissu, leo Septemba 22, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Nyakijooga

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2018
Posts
524
Reaction score
829
Hali ilivyo kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumatatu Septemba 22.2025.

Ambapo Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu inaendelea tena Mahakamani hapo leo.

Mahakama kupitia jopo la Majaji watatu wanaosikiliza kesi hiyo wakiongozwa na Jaji Danstan Ndunguru inatarajiwa kutoa 'uamuzi mdogo' wa mapingamizi mawili yaliyowekwa na mshtakiwa, miongoni mwa mapingamizi hayo ni lile linalohusu uhalali wa hati ya mashtaka.

Your browser is not able to display this video.
Chanzo: Jambo Tv
Lissu alivyofikishwa Mahakamani

Your browser is not able to display this video.
Tundu Lissu akiingia ndani ya chumba cha mahakama.
Your browser is not able to display this video.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche akiwasili Mahakamani.
Your browser is not able to display this video.
Mahakama yatupilia mbali pingamizi la Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…