Kuwakamata viongozi wa chama kikuu cha ushindani CHADEMA mkoani Mbeya kinaweka rehani ubunge wa Mbunge wa Mbeya ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania na Chama chake cha Mapinduzi (CCM)
Hatua hiyo inakipa umaarufu chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kiki na umaarufu mkubwa na kuonewa huruma na wananchi wa Mbeya kuwa wanaonewa hivyo kupelekea wanachi hao kuzidi kuichukia CCM
Hali hiyo itafanya kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa mwishoni mwa mwaka huu na uchaguzi mkuu mwakani CCM kunyimwa kura na Tulia kukosa ubunge wa Mbeya hivyo kuvuliwa Uspika wake
Busara ilikuwa kuwaachia BAVICHA waendelee na kongamalo lao leo Agosti 12 2024 ambayo ni siku ya vijana Duniani
Vijana wa CCM na ACT Wazelendo wamefanya kwa nini CHADEMA wazuiwe?
PIA SOMA
- John Mrema: Wanachama na Viongozi wa CHADEMA waliokamatwa hadi sasa ni 427
- Kuelekea 2025 - Polisi: Hatujazuia mikutano ya ndani wala ya hadhara, tumezuia mkusanyiko wa Viongozi wa CHADEMA