proton pump JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 6,814 Reaction score 10,104 Dec 22, 2017 #401 Walizipanda wakazipalilia ,wengine hakuzipanda na kuacha mbegu
C chikundi JF-Expert Member Joined Oct 16, 2016 Posts 8,159 Reaction score 2,286 Dec 22, 2017 #402 laki si pesa. said: tunawajua hao ikifika desemba wanakopa pesa na kuazima magari ya kwenda kuoshea kwao Click to expand... Wanakopa Kenya? Kwa sababu Tanzania vyuma vimekaza.
laki si pesa. said: tunawajua hao ikifika desemba wanakopa pesa na kuazima magari ya kwenda kuoshea kwao Click to expand... Wanakopa Kenya? Kwa sababu Tanzania vyuma vimekaza.