Kinachoendelea Moshi, Hakuna Hali Ngumu

Niliwakubali akina mama wa ki Machame, jamani nadamka saa 10 alfajiri kuwahi mabasi ya kuja huku kwetu nakutana na akina mama wamebebelea maziwa wanapeleka mjini! Hongereni akinamama wa Uchaggani!
 
Kwa sababu. Bakhresa ni tajiri.
Basi wa Tanzania wote ni matajiri[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Hao walishawekeza siku nyingi, hivyo wanakula itokanayo na miradi ya siku za nyuma. Kumbuka pia wachaga wanajituma sana kusaka shilingi.
 
Na nyumba kipindi hiki mnachosema kigumu cha Magufuli ndio zimejengwa haswa na ukarabati wa kufa mtu.
 
Waache wakwe zangu. Xmass lazima kuleta show za Mayweather za hapa na pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…