Kinachoendelea Moshi, Hakuna Hali Ngumu

Hahaha. Mkuu wapi wanakopesha hizo pesa nikachukue na mimi asee
Una mali za kuwekea rehani mkopo!? Wachaga wana majumba/mali za kuweka rehani ili kupata mkopo, na wakipata mkopo hawachezei hela mkopo "vigodoro", bali inapelekwa kwa biashara then faida kiduchu ndio "mchemsho" na mengineyo
 
Ungetupatia picha ya tukio moja la sherehe kubwa ya wachagga uliyoishuhudia mwezi huu. Ila pia wewe ni wa wapi ambapo hawafanyi sherehe hizo tujue kuna tatizo gani
 
Umekuja kuwachongea au? Huo ni umbea! Acha wapambane na hali zao.
Kipimo ni Dec hii tuone kama watapanda kama kawaida yao au la.
 
Acha ujinga kama we huna mipango ya kutafuta pesa na kutumia kaa kimya
 
Ni mfano wa kuigwa, makabila yote yanapaswa kuiga mfano huu, kutafuta mwaka mzima, na mwisho wa mwaka kwenda kutumia pamoja na familia na ndugu uliowaacha huko kijijini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…